26.02.2014 Views

pdf download, 22.6 MB - SwahiliWeb

pdf download, 22.6 MB - SwahiliWeb

pdf download, 22.6 MB - SwahiliWeb

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Akenda akamchukua ule mtoto kwa mamake usiku, akampeleka

kule, bila watu kujua. Ewa. Akarnlea, akamlea, akamlea yule

nokowa, ule kumandera wa shamba, hata mtoto amakuwa rntu

mzima tena.

Ewa. Amakuja amamwambia ule ..., kijana, ndugu yake ule

mtoto, mkubwake ule mwanamke, amakwenda amamwuliza

nokowa :

à Je shauri ? )>

Nokowa amesema :

~Afadhali mhamishe huyu. Wewe una jamaako pahala pengine,

mchukue mpeleke huko kwa jamaako huko. :>

Ewa, ewa. Wakati ule, ule ndugu yake mwanamurne amakuja

amamchukua usiku, alipomchukua amampeleka kwa mamake,

mwanamuke mzuri sana sana sana imezidi mpaka ! Akamwambia

mamake ya kuwa :

Fanya mkate, nichukue nimpeleke huyu. Nimpeleke kwa jamaa

yangu. Ã

Ewa. Aka ..., mamake akasimama akafanya zawadi ya kula njiani,

mana mbali. Amakwenda kadiri ya suku kumi katika farashi.

Ewa. Akatafuta farashi, karnwuliza nokowa:

( Hapana farashi mzuri huku ? Ã

Amesema :

u Wako wawili. Wanasikia hata neno ya mwanadarnu. >>

Ewa, akenda akachukua farashi wawili, wakafanya mikate, na vitu

watokula njiani, ewa, kafwatana na ndugu yake. Amapanda

farashi ule ndugu yake mwanamume, ne ule mwanamke

amapanda farashi. Wamechukua vitu Zao, vyakula.

Ewa. Wamekwenda suku ya kwanza, wamekwenda suku ya pili,

wamekwenda suku ya tatu, suku ya nne mshitu mkubwa. Ameona

simba njiani, ameona simba, akamwambia yule ndugu yake:

Wewe keti nyuma, nyuma yangu hapo. ;>

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!