08.06.2013 Views

Kuanza Makanisa Sasa - Paul-Timothy

Kuanza Makanisa Sasa - Paul-Timothy

Kuanza Makanisa Sasa - Paul-Timothy

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kuhudumiana

Orodha ya Agano Jipya ya kuchunguza

Amri za “Mmoja kwa Mwingine”

Kufundisha na kuhimizana: Wakol. 3:16.

Kufundishana: Warumi 14:14.

Kuhimizana Moyo: Waeb. 3:13.

Kutendeana mema 1 Wathes. 5:15.

Kushughulikiana 1 Wakorin.12:25.

Kuchukuliana mizigo Wagal. 6:1.

Kusema ukweli, kama washiriki wa moja kwa mwingine: Waef. 4:25.

Kuhudumiana kwa karama yeyote ambayo kila mmoja amepokea: 1 Petr 4:10.

Kuyatoa maisha kwa ajili ya wenzetu: 1 Yoh. 3:16.

Kutia moyo Ushirika mwema

Kuwa na ushirika wa moja kwa mwingine: 1 Yoh. 1:7.

Kupendana: Yoh. 13:34-35; 5:12, 17; Warum. 12:10; 1 Wathes. 4:9; 1 Yoh. 3:11,

14, 23; 4:7, 11, 12; 2 Yoh. 1:5.

Kupendana ili kutimiza sheria: Warum. 13:8.

Kukua katika upendo moja kwa mwingine: 2 Wathes. 1:3.

Kukaa katika upendo moja kwa mwingine: 1 Wathes. 3:12.

Kuwa wafadhili, wenye kuchukuliana, na kusameheana: Waefe. 3:13; 4:32;

Wakol. 3:13.

Kuwa na upendo usio na unafiki kutoka moyoni moja kwa mwingine: 1 Petr.

1:22.

Kushikilia Upendo daima moja kwa mwingine: 1 Petr. 4:8.

Kujenga Umoja wa kiroho

Kuonyesha Heshima moja kwa mwingine: Warum. 12:10.

Kukubaliana moja kwa mwingine: 2 Wakor. 13:11.

House churches

become strong

through relational

expressions of love.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!