Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
Mambo…

“Makanisa ya ki-sungura na ya ki-ndovu”

Kipimo kidogo cha Makundi huwaruhusu wengi hushiriki. Katika jamii nyingi watu huja kwa

Yesu kwa urahisi sana katika makundi madogo.

Mamlaka yaliyo na uadui kwa wakristo huonea makanisa yanayo kutakana nje ambayo

“hayajasajiliwa”

Ni rahisi kuifikia jamii yote kwa kukutana nyumbani mwao

Watoto wanaweza kuchukua sehemu zaidi ya utendaji katika ibaada na hivyo kujua kuwa

wao ni sehemu muhimu ya mwili wa Kanisa.

Pesa ambazo hazitumiki kwa mijengo zinaweza kutumika kutuma wapandaji makanisa

kuzalisha mikutano.

Makanisa madogo huzalisha kwa urahisi kwa sababu hawajakua taasisi; hawaja kuwa na

vifaa vya gharama na tamaduni ambazo ni ngumu kupitiliza kwa makanisa yao madogo.

Mikutano ya “Ki-sungura” huzalisha zaidi sana kwa haraka. Waumini katika mikutano midogo

ya kadiri huleta watu wengi mara nyingi kwa Kristo kuliko hesabu iyo hiyo ya waumini wa

makanisa ya “Ki-ndovu.”

Matumizi

NDOVU

Hukomaa katika miaka 18

Mtoto mmoja kwa kila kutungwa

mimba

Yenye uwezo wa kuzaa mara nne

kwa mwaka.

Muda wa ujauzito ni miezi 22

Jamii yaweza kukua kutoka 2 hadi 3

katika miaka 3

SUNGURA

Hukomaa katika miezi minne

Kwa kadiri ya watoto 7

Yenye uwezo wa kuzaa karibu kila

mara

Muda wa ujauzito ni mwezi mmoja.

Jamii yaweza kuzalisha hadi millioni

476 katika miaka mitatu.

Usigawanye kikundi kirahisi katika vipande viwili. Fundisha viongozi wapya wakati kikundi kingali

kidogo. Kinapokua, pata mmoja au wawili wa hawa viongozi wapya kuanza makundi mapya,

wakiwachukua wengi wa hao ambao wanataka kwenda nao.

Kumbuka

Kanisa linaweza kuwa la ki-sungura na la Ki-ndovu ikiwa litaachilia makundi ya chembe hai kuzidisha

na kuwa vikanisa vidogo ndani ya lile kubwa.

Kanisa – kwa kiwango chochote - “halipandwi” hadi lifanye huduma ambazo Mungu anataka za

kanisa. Kiongozi wa Kanisa la ki-sungura ni mwalimu wa kweli iwapo tu yeye anawasaidia wengine

kufanya huduma. Kufundisha tu sio kuongoza.