08.06.2013 Views

Kuanza Makanisa Sasa - Paul-Timothy

Kuanza Makanisa Sasa - Paul-Timothy

Kuanza Makanisa Sasa - Paul-Timothy

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kuhusu Mwandishi

O’Connor na Currah katika Rahim Yar Khan, Pakistan

Galen Currah, aliyefanya startachurchnow.com amehudumu kama mkurufunzi na mshauri na

watenda kazi katika nchi kadhaa. Yeye ni ndiye chanzo cha kweli cha kujifunza juu ya utendaji CPMs

kadhaa. Ingawa alistaafu, Galen anaendelea kusafiri na kufundisha ulimwenguni, na umbali wake ni

barua pepe kutoka kwa uwekezaji wa dhamani wa watenda kazi wa CPM wanaotilia maanani amri

ya Kristo ya kwenda na kufanya wanafunzi. Kuwasiliana na Galen: galencurrah@paul-timothy.net

Patrick O’Connor, D.Miss., na mke wake Debbie walianzisha mwondoko mpya wa kusisimua wa

makanisa ya mashambani, Hondua mashariki, walipohudumu kutoka 1993 hadi 2009. Wakiwa

wamekulia Bihar, India, Patrick sasa amerudi “Asia na zaidi” katika shirika la Action International.

Anafundisha wengine katika nchi zaidi ya 20. Ingawa kituo chake ni karibu Seattle, Patrick na Mkewe

Debbie husafiri na kufundisha sana. Kuwasiliana na Patrick, mwandikie kwa: scn.patrick@gmail.com

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!