08.06.2013 Views

Kuanza Makanisa Sasa - Paul-Timothy

Kuanza Makanisa Sasa - Paul-Timothy

Kuanza Makanisa Sasa - Paul-Timothy

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Vidokezi vya Kazi ya kuigiza

Shikilia kazi ya kuigiza kwa muhtasari na fupi na

inayolenga. Tenda tu kwa pointi za hadidhi ya

Biblia; usiongeze vitu eti unaigiza.

Usikariri mistari, isipokuwa mawazo au pointi

kuu tu.

Usiache kazi ya kuigiza kuvurutwa sana.

Hakikisha kuwa kila mwanafunzi ana nafasi ya kutosha

kushiriki katika njia fulani za kuiga na kazi ya kucheza.

Fanya hiyo kila mara – tunajifunza kwa kusikia, kuona,

kutenda na kutumia.

Fanya kuwasilisha kuwa rahisi. (hakuna

kutegemewa)

Yeyote anaweza kushiriki – watoto, watu

wazima, n.k.

Kuwa na burudani! Washiriki watakumbuka kile

wanona na ya uzoefu, zaidi kuliko yale wanasikia tu kutoka

kwa jukwa.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!