08.06.2013 Views

Kuanza Makanisa Sasa - Paul-Timothy

Kuanza Makanisa Sasa - Paul-Timothy

Kuanza Makanisa Sasa - Paul-Timothy

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kuteseka wakati wa majaribu na kusulubishwa ( Mark 15; Luka 22-24; Yohana 18-20).

Yohana Mbatizaji anatangaza msamaha kwa wale wameungama dhambi zao (Mat. 3).

Yesu alisamehe watu wabaya sana lakini akawaonya Mafarisayo waliotumaini

matendo yao mema kwamba hawajaingia katika ufalme wa Mbinguni (Mat. 9 na 21:

28-45)

Yesu amsamehe aliyepooza ambaye hakuwa amefanya chochote kwa uwezo wake

kuja kwa Yesu (Mar. 2)

Paulo aliahidi wokovu kwa jamii yote ya mlinzi wa gereza aliyeamini, kabla hata

hawajasikia Injili (Matendo 16:31).

Malaika walitangaza kuzaliwa kwa Yesu kwa wachungaji (Luka 2)

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!