08.06.2013 Views

Kuanza Makanisa Sasa - Paul-Timothy

Kuanza Makanisa Sasa - Paul-Timothy

Kuanza Makanisa Sasa - Paul-Timothy

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Vidokezi vya kushauri viongozi wapya.

Fundisha viongozi wapya “kisiri.” kama alivyofanya Akila na Priska na

Apollo (Matendo 18:24-28)

“Kama mbio ya kupokezana, wapatie wengine

kifimbo cha Umitume cha mamlaka, ujumbe na

waajibu, kama Paulo alivyofanya. Shikilia nuru ya

kifimbo. Fanya kazi ya Bwana rahisi kwa kuchukua na

kupeana kwa wengine. Onyesha wanafunzi wako

jinsi ya kuwa “watendaji wa neno, sio wasikilizaji tu.”

Usilenge mwanafunzi pekee, bali pia lenga kondoo anayewachunga

Kuwa mfano- ili wanafunzi waweze kukuiga.

Tadhmini mafundisho kwa matokeo yanayoonekana kwa maisha ya

wanafunzi.

Makosa ya kawaida

o Kukosa kupeana kifimbo haraka iwezekanavyo, kutawala sana na kwa muda

mrefu.

o Kutumia vyombo vya gharama au vya staarabu.

o Kuwa mkarimu sana kwa pesa za kutoka nje ambazo waumini wanategemea

kushindwa kumtegemea Mungu.

o Kutumia mtindo wa mafundisho na ibaada inayohitaji elimu ambayo viongozi

wa taifa wamekosa.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!