You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
1.Mfano wa Antiokia

Mifano nne ya kupanda kanisa.

Ushirika wa kutuma unaotuma kikundi

kidogo kwa viwanja vya mbali (Matendo

13-14). Kikundi hiki cha kusafiri kilitoka

jimbo moja hadi lingine, likianza makundi

ya kwanza machache katika kila jimbo.

Walikaa katika jimbo kwa muda mrefu wa kutosha kuimarisha viongozi,

au walirudi huko kwa muda mfupi kufanya hivyo. Kikundi hakikukaa

kuongoza mkutano. Bali, walienda kwa maeneo mengine yaliyopuuzwa

au kurudi kwa kanisa lililo watuma.

2. Mfano wa Joppa

Kanisa la Nyumbani lilituma wasaidizi pamoja na Petro kwa safari fupi

fupi kuanzisha kanisa la karibu.

3. Mfano wa Biashara

Akila na Priska walitumia biashara ndogo kuanzisha

makanisa katika maeneo yaliyopuuzwa. Na Paulo

alifanya hema kujihimili mwenywe. Andiko

ladhihirisha kuwa walifanya haya katika Rumi,

Korintho na Efeso. Waliacha makanisa yao ya asili kabisa, wakienda

kutoka mji hadi mji, wakikusanya makundi ya nyumba kwa nyumba.

4. Mfano wa miji ya Magharibi.

Kundi kubwa la wastani huondoka kabisa kutoka kwa kanisa la

nyumbani kuanzisha kanisa ndogo la karibu, katika tamaduni zao hizi

hizo, kawaida na viongozi wenye ujuzi wa juu, wenye mishahara.

Mkutano wenye hesabu kubwa ya washiriki wanaweza kutuma

kikundi kikubwa cha kutosha kumuajiri mchungaji kuanzia mwanzo,

kuhifadhi mtindo wa ibaada kama ile ya kanisa la nyumbani.