08.06.2013 Views

Kuanza Makanisa Sasa - Paul-Timothy

Kuanza Makanisa Sasa - Paul-Timothy

Kuanza Makanisa Sasa - Paul-Timothy

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Wenye shauku na uwezo wa kufanya mafundisho ya uchungaji na washauri.

Kutohusika sana katika huduma zingine, ambazo zaweza kukufuruga

Uwezekano wa kushikilia kuifanya kwa miaka mingi (sio cheo cha kuchaguliwa kwa muda)

Pia:

1) Epuka kuvunjika kwa mawasiliano

2) Epuka kutokuwa na shabaha

3) Epuka kuchelewa isiohitajika

4) Epuka sharia nyingi ndogo ndogo zisizo la lazima.

Vidokezi vya wasaidizi wa Jimbo

Chunguza ni makundi hani ya watu na ni wapi wamepuuziwa katika jimbo, na kufanya mipango ya wanafunzi

kuingia maeneo hayo.

Washauri viongozi wa kanisa mpya.

Wasaidie wengine kuwatambua pia na kuwashauri wanafunzi wapya.

Fundisha wengine pia kuwa wasaidizi kiasi kwamba wanfanya kama walivyoonyeshwa.

Inua huduma zote za Agano Jipya katika makanisa mapya.

Peana vifaa vya mafundisho

Andaa washa, lakini usizitegemee

Tadhmini matokeo ya uwazi.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!