08.06.2013 Views

Mchungaji Afanyaye Watu Kuwa Wanafunzi Sura Ya Ishirini Na Tisa ...

Mchungaji Afanyaye Watu Kuwa Wanafunzi Sura Ya Ishirini Na Tisa ...

Mchungaji Afanyaye Watu Kuwa Wanafunzi Sura Ya Ishirini Na Tisa ...

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Umilele unaanza kwa kupita kwa mbingu na nchi za kwanza, na hivyo kutimiza ahadi

ya Yesu ya zaidi ya miaka elfu mbili iliyopita: “Mbingu na nchi zitapita, bali maneno

yangu hayatapita kamwe” (Mathayo 24:35).

Kisha, Mungu ataumba mbingu na nchi mpya, sawa na Petro alivyotabiri katika barua

yake ya pili, hivi:

Lakini siku ya Bwana itakuja kama mwivi. Katika siku hiyo mbingu

zitatoweka kwa mshindo mkuu, na viumbe vya asili vitaunguzwa, na

kufumuliwa, na nchi na kazi zilizomo ndani yake zitateketea. Basi, kwa

kuwa vitu hivi vyote vitafumuliwa hivyo, imewapasa ninyi kuwa watu wa

tabia gani katika mwenendo mtakatifu na utauwa, mkitazamia hata ije siku

ile ya Mungu, na kuihimiza; ambayo katika hiyo mbingu zitafumuliwa

zikiungua, na viumbe vya asili vitateketea na kuyeyuka? Lakini, kama ilivyo

ahadi yake, mnatazamia mbingu mpya na nchi mpya, ambayo haki yakaa

ndani yake (2Petro 3:10-14. Ona pia Isaya 65:17, 18).

Hatimaye – Yerusalemu mpya utashuka kutoka mbinguni mpaka chini duniani (ona

Ufunuo 21:1, 2). Mawazo yetu hayawezi hata kuanza kuelewa utukufu wa mji huo,

wenye eneo kubwa sana – karibu nusu ya bara la Afrika (ona Ufunuo 21:16), au maajabu

ya miaka hiyo isiyo na mwisho. Tutaishi katika jamii kamilifu milele, chini ya utawala

wa Mungu, kwa utukufu wa Yesu Kristo!

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!