18.06.2013 Views

Download TPS, East Africa 2008 Annual Report - Serena Hotels

Download TPS, East Africa 2008 Annual Report - Serena Hotels

Download TPS, East Africa 2008 Annual Report - Serena Hotels

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

KATA HAPA

FOMU YA UWAKILISHI

Mimi / Sisi

kama mwanachama/wanachama wa Kampuni iliyotajwa hapo juu namteua/twamteua

kutoka na akikosa,

kutoka kama wakala wangu / wetu kupiga kura

kwa niaba yangu/sisi wakati wa Mkutano Mkuu wa Pamoja wa mwaka wa Kampuni utakaofanyika

Alhamisi, Juni 4, 2009 kuanzia saa tano asubuhi au kuahirishwa kwake.

Idadi ya hisa zinazomilikiwa:

Nambari ya akaunti:

Imetiwa sahihi tarehe 2009

Sahihi:

MUHIMU:

1. Endapo unataka, unaweza kumteua Mwenyekiti wa mkutano kama wakala wako.

2. Ili kuwa halali, Fomu hii ya Uwakilishi LAZIMA irudishwe kwa msajili wa Kampuni, Image Registrars,

Orofa ya Nane, Jumba la Transnational, Barabara ya Mama Ngina, Slp 9287-00100, GPO, Nairobi,

Kenya na saa 48 kabla ya mkutano kuanza.

3. Si lazima kwa wakala aliyeteuliwa kuwa Mwanachama wa Kampuni.

4. Endapo mwanachama atakuwa Kampuni / Shirika, Fomu hii ya Uwakilishi LAZIMA ijazwe na kupigwa

muhuri rasmi au kutiwa sahihi na afisa wa kampuni au yule aliyeidhinishwa kwa njia ya kuandika.

5. Endapo umiliki utakuwa wa pamoja, sahihi ya mmoja wa wamiliki itatakiwa lakini majina ya wamiliki

wote yafafanuliwe.

SERENA HOTELS

SAFARI LODGES • HOTELS • RESORTS

TPS EASTERN AFRICA LIMITED | ANNUAL REPORT AND FINANCIAL STATEMENTS 2008 63

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!