26.09.2014 Views

2012 TPSEA Annual Report - Serena Hotels

2012 TPSEA Annual Report - Serena Hotels

2012 TPSEA Annual Report - Serena Hotels

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Taarifa ya Mwenyekiti (kuendelea)

umepata ufanisi katika kitengo cha

usafiri na kuangazia utoaji wa thamani

kinyume na kupunguza bei.

Zaidi ya hayo, kufungamana na sera zake

za kuwekeza katika raslimali zilizoko,

kampuni ilitekeleza zoezi la ukarabati na

urekebeshaji hoteli za Serena Beach &

Spa, Ngorongoro Serena Safari Lodge na

Kirawira Luxury Tented Camp wakati wa

kipindi hiki cha mwaka unaoangaziwa.

Huku Kampuni yenu ikiwekeza kwenye

hisa za Tourism Promotion Services

(Rwanda) Limited (TPS (R)), mtafurahia

kufahamu kwamba, ukarabati wa

awamu za II na III katika hoteli ya Kigali

Serena ulikamilika Septemba 30, 2011

na umepokelewa vyema na watoaji wa

huduma za biashara . Hoteli ya Kigali

Serena inazidi kuthibiti nafasi yake ya

uongozi katika soko la Kigali na usimamizi

una imani kwamba, hali ya siku za usoni

ya TPS (R) inaonekana kuleta matumaini

baada ya upanuzi na uimarishaji wa sura

ya Kigali Serena ambayo imeleta katika

soko ya Rwanda bidhaa bora zaidi.

Wakati wa kipindi hiki cha mwaka,

kampuni ilitafiti nafasi zaidi ili

kuimarisha mtandao wa Serena Afrika

Mashariki chini ya mkutadha wa mkakati

wetu wa muda mfupi na mrefu kibiashara.

Wakati wa kipindi cha mwaka 2011,

Lake Elmenteita Serena Camp iliyoko

katika hifadhi ya Soysambu Conservancy

ilizinduliwa na inatarajiwa kuimarisha

mtandao wa Serena eneo la magharibi

mwa Kenya kwa kuunganishwa na Mara

Serena Safari Lodge na utatumiwa kama

kielelezo wakati wa kuanzisha kampi

za Serena siku za usoni. Zaidi ya hayo,

mwaka 2011, kundi lilipanua mtandao

wake wa hoteli za jiji baada ya kuchukua

umiliki wa Dar es salaam Serena Hotel

(zamani ikijulikana kama Movenpick

Royal Palm Hotel). Upanuzi wa nembo ya

Serena jijini Dar es salaam utaimarisha

nafasi ya Tanzania kama kituo muhimu

cha kongamano, kichocheo, mikutano

na kitengo cha matukio (MICE) huku

ikivutia wateja wanaotaka starehe.

Kufuatia ufanisi wa mkakati wa Serena

katika kanda na kwa mujibu wa ndoto

yake ya kuwa kampuni halisi Afrika

Mashariki, TPSEAL ilihamasisha nafasi

ya uwekezaji wake kwa: kuongeza

ushiriki wa hisa zake kwa asilimia 3

(3%) za thamani ya Kshs. Milioni 56.99

katika TPS ( R) ambayo inasimamia

Kigali Serena Hotel na Lake Kivu

Serena Hotel chini ya ukodishaji wa

muda mrefu; kutwaa umiliki wa asilimia

20 (20%) wa hisa za thamani ya Kshs.

Milioni 363.72 katika TPS (D) Limited

ambayo ni kampuni iliyoshirikishwa

nchini Kenya kuzindua umiliki wa Dar

es salaam Serena Hotel . Nafasi hii ya

uwekezaji ilikuwa mkakati bora wa

kuimarisha na kupanua mkondo wa

mapato wa kampuni kwani TPS (R)

na TPS (D) sasa ni kampuni wenza wa

TPSEAL hivyo kuiwezesha TPSEAL

kuweka pamoja asilimia ya matokeo ya

20.15 (20.15%) ya TPS ( R) na asilimia

20 (20%) ya TPS (D ) kuanzia Julai Mosi

2011 na Novemba Mosi 2011 mtawalia.

Kwa kuangazia siku za usoni, umiliki wa

TPSEAL wa hadi asilimia 100 (100%) wa

hisa zilizotolewa katika TPS (Uganda)

Limited inayoendesha Kampala Serena

Hotel na kusimamia Lake Victoria

Serena Resort unatarajiwa kukamilika

kipindi cha mwaka 2012 na hakika

utahamasisha zaidi ndoto ya TPSEAL

ya kuwa kampuni bora Afrika Mashariki.

Uwekezaji katika kanda utasambaza

athari za wawekezaji na kuwepo kwa

matokeo mema yanayotarajiwa ya TPS

(U). Umiliki wake unatarajiwa kuimarisha

faida zilizowekwa pamoja za TPSEAL

na mapato kwa kila hisa na kuwapa

wanahisa wa sasa na wale wa siku za

usoni mapato ya juu.Itakumbukwa

kwamba, umiliki ulitangazwa na

kuidhinishwa kwa jumla na wanahisa wa

TPSEAL wakati wa mkutano wa pamoja

wa mwaka uliofanyika Mei 24, 2010.

Hata hivyo, umiliki unategemea TPSEAL

kupokea idhini la masharti kutoka Soko la

Hisa la Nairobi, Halmashauri ya masoko

ya mtaji chini ya sheria za masoko ya hisa

na hatimaye kupitishwa na wanahisa wa

TPSEAL.

Ni muhimu kufahamu kwamba, wakati

wa kipindi cha mwaka unaoangaziwa,

hoteli za Serena zilikuwa na fahari

kutunukiwa zawadi na matuzo kutoka:

Wellness Champions Award kutoka mradi

wa APHIA 11 Coast – Tuzo la Dhahabu;

Best Levy Payer in the Accomodation

Category kutoka Kenya Tourism Awards

2011; Trip Advisor Rating ; Eco- Tourism

Enterprise 2011 kutoka Eco Tourism

Kenya; World Travel Awards 2011; Conde

Nast Traveler 2011 Choice Awards- Best

Resorts in Africa; TASOTA (Tanzania

Society of Travel Agents) tuzo la hoteli

bora ya kitalii/ mtandao wa mahoteli

kwenye mikondo ya safari; Rwanda

Development Board Performance Awards

– mshindi kwenye kitengo cha huduma za

mahoteli, washindi wa pili katika kitengo

cha uwekezaji bora wa mwaka na nafasi

ya pili kwenye kitengo cha utoaji huduma

na COYA (Kampuni bora ya mwaka) –

tawi la Rwanda kwa bidhaa thabiti ya

Serena , idara inayoshughulikia maswala

ya wafanyakazi na sera za uwekezaji.

Kundi liliendelea kuzindua mikakati ya

habari na mawasiliano , taratibu bora za

kitengo cha usimamizi wa wafanyakazi na

shughuli za wajibu wa shirika kwa jamii

(CSR) ambazo zinakamilisha mikakati

yake ya muda mrefu ya kibiashara wakati

inapoendelea kupanua nafasi mpya za

kibiashara kufungamana na sera zake za

upanuzi. Maelezo zaidi kuhusu kitengo

cha habari na mawasiliano, kitengo cha

usimamizi wa wafanyakazi na wajibu wa

shirika kwa jamii yamewekwa pamoja

14 TPS EASTERN AFRICA LIMITED ANNUAL REPORT AND FINANCIAL STATEMENTS 2011

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!