26.09.2014 Views

2012 TPSEA Annual Report - Serena Hotels

2012 TPSEA Annual Report - Serena Hotels

2012 TPSEA Annual Report - Serena Hotels

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Taarifa ya Mwenyekiti (kuendelea)

kupitia taarifa kutoka kwa Meneja

Mkurugenzi ambayo yamejumuishwa

kupitia kurasa za 17 hadi 19 za ripoti hii

ya mwaka.

Kupitia upanuzi wa kundi la Serena

kutoka shirika lenye umiliki wa raslimali

4 mwaka 1970 hadi idadi ya hoteli

24 za kifahari, mahali maalumu pa

kutembelea watalii, kampi na vyumba

vya kulala safarini mwaka 2011, Serena

ina fahari na kushukuru kwamba

tumeweza kutekeleza jukumu kubwa

katika ukuaji wa uchumi na maendeleo

kwenye mataifa 6 barani Afrika ambako

tunahudumu. Kama viongozi kwenye

masoko , ni matumaini yetu kwamba,

tunapofanya kazi na serikali za mataifa

ya Afrika Mashariki ili kuleta ukuaji

wa uchumi,serikali husika zitaendelea

kuangazia juhudi ambazo lengo lake

ni kuandaa biashara ya utalii iliyo

Wanyama pori kwenye mbuga ya Selous National Park Tanzania

thabiti kwa kuunda miundo msingi

inayohitajika huku zikijiepusha na

mambo yasiyohitajika, maendeleo

kupita kiasi makisio, usalama, na

mikakati ya bidhaa inayohitajika ili

kuiwezesha sekta hii kutoa huduma

bora na nafasi za kazi . Kundi la Serena

linaamini kwamba ni kupitia uwepo wa

mazingira bora ya kibiashara ambako

sote tunaweza kupata manufaa kamili

ya kitalii eneo la Afrika Mashariki kwa

kutumia mchanganyiko wa mazingira

yake adimu yenye utajiri wa viumbe

hai, utamaduni na turathi zake.

Kutamatisha, kwa niaba ya

Halmashauri, ningependa kushukuru

na kupongeza wasimamizi wa

kampuni na wafanyakazi kutokana

na bidii na kujitolea kwao ambapo

bila wao matokeo yaliyopatikana

mwaka 2011 hayangekuweko. Pia,

ningependa kutambua na kushukuru

mchango kutoka kwa wanahalmashauri

wenzangu ambao umewezesha shughuli

za biashara mikakati ya kundi kufaulu

kipindi cha mwaka wa 2011.

Ningependa kutambua kwa dhati

mchango muhimu na uaminifu ambao

tunazidi kupokea kutoka kwa wanahisa

wetu, wateja na washika dau wengine

katika biashara hii. Mwisho, ningependa

kuzishukuru serikali za mataifa ya Afrika

Mashariki kwa kurahisisha ukuaji wa

sekta ya utalii na pia halmashauri mbali

mbali za utawala pamoja na washika

dau kutokana na msaada wao ambao

ni muhimu kwa kuthibiti ukuaji wa

biashara eneo hili.

Francis Okomo-Okello

Mwenyekiti

TPS EASTERN AFRICA LIMITED ANNUAL REPORT AND FINANCIAL STATEMENTS 2011 15

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!