26.09.2014 Views

2012 TPSEA Annual Report - Serena Hotels

2012 TPSEA Annual Report - Serena Hotels

2012 TPSEA Annual Report - Serena Hotels

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Taarifa kutoka kwa Meneja Mkurugenzi (kuendelea)

wanayopata wateja na kuhamasisha

matokeo ya chini.

Kama mnavyofahamu, matumizi ya

mfumo wa teknolojia ya habari na

mawasiliano katika sekta ya mahoteli,

pole pole umepelekea mabadiliko ya

muundo mpya ambao umebadilisha

biashara ya utalii duniani. Hili

limepelekea usimamizi kufanyia

tathmini maendeleo ya kila mara na

kutumia mbinu zinazofaa za kiteknolojia

kufungamana na mkakati wa kampuni

wa teknolojia ya habari na mawasiliano

ambao unaunganisha pamoja mikakati

mingine ya kibiashara hivyo kupelekea

kuwepo kwa utendaji bora , kuimarisha

manufaa ya wateja na kuimarisha

matokeo ya juu na chini. Wakati wa

kipindi cha mwaka unaoangaziwa,

kampuni iliwekeza katika uimarishaji

wa mtandao wa usalama, kustawisha

nakuweka pamoja vifaa vya mitambo

ya kompyuta, programu za kompyuta

na matumizi ya mitambo ya kisasa ili

kuafikiana na malengo yaliyotajwa hapo

juu. Muundo msingi wa teknolojia ya

habari na mawasiliano ulioimarishwa

katika kanda ya Afrika Mashariki ambao

unahusisha mtandao wa chini ya bahari

na nchi kavu kupitia nyuzi umeimarisha

kasi ya intanenti na hasa unatumika

kama kichocheo cha mafanikio ya

mikakati ya uvumishaji na biashara.

Mnamo mwaka 2011, kampuni ilirekodi

ukuaji wa kufana wa kutuma maombi ya

nyumba za hoteli kupitia mawasiliano ya

moja kwa moja ya matumizi ya kadi ya

elektroniki ambayo ni salama na rahisi

kupitia muundo wa kisasa wa wavuti

wake. Zaidi ya hayo, utafiti uliofanywa

kuhusu kuridhika kwa wateja ambao

ulianzishwa kama mradi kielelezo

mwaka 2009 katika hoteli ya Nairobi

Serena umezinduliwa katika hoteli zote

za miji na zile za starehe. Kuhusu

uvumishaji kupitia elektroniki, kampuni

itachukua hatua zaidi mwaka 2012

na kuhusisha vyombo vya habari vya

umma kama chombo maalumu kufuatia

mabadiliko ya kasi ya wateja kuhusiana

na vyombo vya habari mabadiliko

ambayo yanapendelea vyombo hivi.

Nina furaha kuwafahamisha kwamba

mpango wa Serena Hotel Loyalty

chini ya kauli mbinu ‘’ Serena Prestige

Club’’ ambao ulizinduliwa mwezi

Desemba mwaka 2011 umepokelewa

vyema na wateja. Mpango huu

unakusudiwa kuwawezesha wamiliki

wa kadi za Serena Prestige Club

kunufaika kutokana na faida maalumu

wanapokaa katika hoteli za Serena kote

ulimwenguni. Madhumuni ya mpango

huu ni; kuimarisha uaminifu ili kuthibiti

biashara kwa kuwazaidia wateja;

kuimarisha matokeo katika maeneo yote

ya utekelezaji ya hoteli; na kuendeleza

ushindani dhidi ya mitandao mingine ya

mahoteli ulimwenguni.

Serena inazidi kuamini kwamba

wafanyakazi wake wanatekeleza

jukumu kubwa la mafanikio ya muda

mrefu,ukuaji na sifa za kampuni .

Binafsi ningependa kumshukuru kila

mwanachama wa timu ya Serena

kutokana na mchango wake na kujitolea

kwa dhati ambako wamedhihirisha

kwa Serena mwaka 2011. Kutokana na

mabadiliko ya matarajio na ustarabu wa

wateja, Serena inaendelea kuthibitisha

imani yake kwamba ni thamani ya

huduma ambayo itaendelea kuamua

maamuzi ya vituo ambavyo wateja

watachagua. Kufungamana na mkakati

Zanzibar Serena Inn

20 TPS EASTERN AFRICA LIMITED ANNUAL REPORT AND FINANCIAL STATEMENTS 2011

20

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!