11.07.2015 Views

Read - Polis

Read - Polis

Read - Polis

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

MHE. MKIWABAFADHIL) aliuliza:-A. KIMWANGA (K.n.y. MHE. NURU AWADHIKwa kuwa, wananchi wa Kata ya Mabokweni katika Jiji la Tanga walilazimishwakubomoa nyumba zao ili kupisha ujenzi wa barabara ya Tanga – Horohoro – Mombasa,lakini barabara hiyo haitapitishwa maeneo hayo na badala yake itapitishwa sehemunyingine ambayo hakuna nyumba.Je, Serikali haioni kuwa haikuwatendea haki wananchi waliolazimishwa kubomoanyumba zao?WAZIRI WA MAENDELEO YA MIUNDOMBINU alijibu:-Mheshimiwa Spika, napenda kujibu swali la Mheshimiwa Nuru AwadhiBafadhili, Mbunge wa Viti Maalum, kama ifuatavyo:-Mheshimiwa Spika, katika zoezi la kuainisha nyumba zilizotakiwa kubomolewaili kupisha ujenzi wa barabara ya Tanga – Horohoro, ilionekana kuwa nyumba nyingikatika kijiji cha Mabokweni zingeathirika.Kutokana na hali hii mfadhili wa mradi huu ambaye ni Serikali ya Marekanikupitia Mfuko wa Changamoto ya Milenia (MCC) alishauri barabara mpya ipite nje yakijiji ili kuzinusuru nyumba hizo. Ushauri huu ulizingatiwa na hivyo barabarainayojengwa itapita nje ya kijiji cha Mabokweni na hivyo kuzinusuru nyumba zotezilizotakiwa kuvunjwa.MHE. MKIWA A. KIMWANGA: Mheshimiwa Spika, ahsante kwa kunipanafasi ya kuuliza swali la nyongeza.(a)Kwa kuwa, hawa watu wa Mabokweni tayari walikuwa wamelazimishwakubomoa nyumba zao ili kupisha ujenzi wa barabara, pamoja na barabara hiyo kutopitaMabokweni hilo si suala la wananchi?Je, Serikali haioni busara kuwalipa wananchi hawa fidia kwa sababu yenyewendiyo iliwaamuru kubomoa nyumba hizo?(b) Kwa kuwa, Mheshimiwa Rais wakati anafungua ujenzi wa barabara hii alitoakauli kwamba wale waliotii amri ya kubomoa nyumba zao wenyewe kupisha eneo labarabara ni lazima walipwe fidia.Je, Mheshimiwa Waziri unakinzana na usemi wa Rais? (Makofi)WAZIRI WA MAENDELEO YA MIUNDOMBINU: Mheshimiwa Spika, kwaidhini yako naomba kujibu maswali mawili ya nyongeza ya Mheshimiwa Mkiwa, kamaifuatavyo.14

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!