11.07.2015 Views

Read - Polis

Read - Polis

Read - Polis

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

MHE. DR. SAMSON MPANDA: Nina maana wanaonyemelea majimbo yaUchaguzi. Nikiendelea naomba dakika zangu ziongezwe.Nawashukuru tena wananchi wangu wa Jimbo la Kilwa Kaskazini, kwa kunipanguvu, kwa kunipa kila hali ya msaada wakati wote nilipokuwa naumwa naninavyoumwa na kusema kweli sikupata matatizo yoyote. (Makofi)Kwa kweli wamenisaidia sana na nawashukuru sana na nategemea kwambasikuwaangusha na sintowaangusha endapo watanipa nafasi hii ya kuwaongoza tena,japokuwa ulemavu huu ni jambo la kawaida tu. Wote hapa sisi ni walemavu watarajiwana hakuna mmojawapo hapa duniani ambaye anasema kwamba atakufa kamaalivyozaliwa. (Makofi)Wote sisi ni walemavu watarajiwa. Sisi tu walemavu ndiyo nakubali, lakinihakuna mtu yoyote ambaye ana stakabadhi au barua kutoka kwa Mwenyezi Munguinayosema kwamba anaanza na hali hii na atamaliza na hali hii. Kama yupo basinasema mpigieni kura, lakini nadhani kama hakuna mtu kama huyo hao ndio watu waajabu ajabu tunasema.Jambo la pili nililotaka kusema ni kwamba niseme Waziri Mkuu amezungumziamasuala yote muhimu ambayo Serikali yetu inaikumba. Sasa hivi maendeleo kusemakweli yanaonekana na jimbo langu la Kilwa Kaskazini, kusema kweli linaonekanakwenye ramani ya Tanzania na kusema kweli sina haja ya kusema kwamba mamboyamekwenda vibaya, ila tu nina mambo mawili au matatu ambayo natakaniyazungumzie.Mheshimiwa Spika, la kwanza, barabara za kwetu kule jamani mziangalie maanahata Waziri Mkuu mwenyewe anapokuja kule kwetu Kilwa anapita pwani. Kilwaimegawanyika upande wa Mashariki na Magharibi upande wa Kipatimu, sasa hawezikufika kwa sababu ya hali ya barabara ilivyo. Sisi tunaona kama tumetelekezwa kwanamna fulani, angalau hata Waziri wake, Mheshimiwa Mwanri au mwingine, sijamsikiaamepita kuja kule kwetu; hakuna. Yote najua ni kwa sababu ya hali ya barabara ilivyo.Sasa naomba kwa kipindi kijacho au kwa kipindi cha hivi karibuni, mchukue nafasikidogo na ninyi mje kuliona Jimbo la Kilwa Kaskazini upande wa Magharibi, mwonehali inavyokwenda na wananchi wanavyofanya shughuli zao na maendeleowanayoyapata. Nitashukuru sana kama mtafanya hivyo.Mheshimiwa Spika, kuna suala la ufuta. Mheshimiwa mwenzangu hapa waKambi ya Upinzani alisema, watu wameuza ufuta kwa shilingi 700 lakini ninavyoonamimi si kweli kwa sababu ufuta kweli umepungua bei kwa sababu ya stakabadhi ghalani.Stakabadhi ghalani ni Sera ya Nchi yetu. Sasa yeye anasema kwamba, wanauza shilingi700 ni wapi; Kilwa Masoko au wapi? Hapo mimi ndiyo sijaelewa. Kwa kwetu sisitunauza shilingi 1000 na zingine tumeambiwa kwamba tutalipwa, isipokuwa hawawenzetu wa Kilwa Kusini au wa Kilwa Masoko, labda pengine elimu ya mambo yastakabadhi ghalani hawajaipata kikamilifu ndiyo maana wanalalamika sana. Kwa hiyo,26

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!