11.07.2015 Views

Read - Polis

Read - Polis

Read - Polis

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

tutalisha nchi zinazotuzunguka. Kuthibitisha yote haya, kwa upande wa umwagiliaji,Wilayani Hai tumedhihirisha hivyo. Nilileta kilio kuhusu Banio la Mijongweni pale naile mifereji mingine ya kwa Musa Mwijanga na sehemu nyingine za tambarare.Ninaishukuru Serikali kwamba, lile banio limekamilika na juzi katika Mbio za Mwengetumelizindua. Kwa hiyo, kilimo cha umwagiliaji ni kizuri, kitatusaidia sana. Kwaupande wa mifugo ni kwamba, mwaka juzi niliuliza swali kuhusu mizani kwenye maeneoyetu ya minada na ni wazo au jambo ambalo linawezekana kabisa badala ya kuuzamifugo yetu kwa kuiangalia kwa macho tu, ningeomba mifugo yetu tuiuze kwa kupimakwenye mizani.Mheshimiwa Spika, kwa mtindo huo, inawezekana mfugaji wetu na mkulimawatafaidika zaidi. Suala la Ushirika; nizidi kusisitiza kwamba ni muhimu lakini piatuvisisitize Vyama vyetu vya Msingi vielewe kwamba, vinalo jukumu au wajibu wakutimiza uwajibikaji wao kwa wanachama wao. Viongozi wa Vyama vya Msingi siyokwamba, wao ndiyo wenye vile vyama bali vyama vile ni vya wanachama wote.Natumaini wanaohusika watakuwa wananielewa, kwa sababu kuna baadhi ya maeneomagawio yanayopatikana kutokana na mapango mbalimbali wanayopangisha, sehemukubwa ya yale mapato yanayopatikana badala ya kwenda kwa wananchi, yanatumika naUongozi; siyo sahihi hata kidogo.Mheshimiwa Spika, Programu ya Uendelezaji wa Mifumo ya Masoko ni jambomuhimu na sisi kule Hai tunashukuru kwamba, Soko la Kwasadala linafanya kazi vizuri.Juzi tu katika Mbio za Mwenge, tumeweza kuzindua soko la walaji pale Boma Ng’ombe,ambalo litakuwa linafanya kazi siku saba za wiki. Tunaishukuru Serikali kwa kuunganana sisi.Utaratibu wa fedha vijijini, kuna mipango midogo midogo kabla hatujafikiaSACCOS labda vikoba na watu wengine, lakini tutaziimarisha SACCOS zetu ili tuwezekuanzisha Benki za Wananchi kule vijijini.Mheshimiwa Spika, upande wa ardhi ni kweli ni lazima tupime ardhi yetu ilikuondoa migogoro mbalimbali inayotukabili na hatimaye tuweze kuwa na makazi boraambayo kila mmoja angependa aishi. Upande huo wa makazi, niruhusu pia niwezekuishauri Serikali katika lile eneo la Sheria ya Majengo; ni muhimu sana na nilichangiakatika Bunge lililopita. Baada ya kuwa na Sheria nzuri kabisa katika hii ConstructionIndustry, tunalazimika tuwe na Sheria ya Majengo. Tukiendelea kuzembea katika eneohili, muda siyo mrefu tutakuwa na kilio kikubwa sana hapa Nchini Tanzania. Tunayomajengo mengi yanayojengwa chini ya viwango vinavyotakiwa, Bodi ya Wakandarasi,Board of Architects and Quantity Surveyors ilishapiga kelele sana katika eneo hili.Mheshimiwa Spika, nami nipende kusema jambo hili na kwa msisitizo wa hali yajuu, nilizungumza na Mheshimiwa Shukuru Kawambwa, Waziri wa Miundombinu, nayealiniahidi kuwa, Sheria ile iko mbioni kuja. Mimi nilikuwa naomba ile Sheria ni muhimuije, tusije tukachelewa tukajikuta mwana si wetu kwa sababu tutaishia kwenye kiliokikubwa.34

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!