11.07.2015 Views

Read - Polis

Read - Polis

Read - Polis

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Maendeleo ya Benki ya Wanawake TanzaniaMHE. JANET B. KAHAMA aliuliza:-Kuzinduliwa kwa Benki ya Wanawake Tanzania mwezi Julai, 2009 kuliwapamatumaini mapya ya kasi ya maendeleo kwa wanawake wengi wa Tanzania hasa katikakupata mikopo kwa masharti nafuu:-(a)(b)(c)Je, ni wanawake wangapi wamepewa mikopo hadi sasa na kwamasharti yapi na wangapi kati yao wanaishi vijijini?Je, ni Watanzania wangapi kwa mchanganuo wa wanawake nawanaume wamenunua hisa katika benki hiyo na zina thamani gani?Je, ile idara iliyoahidiwa siku ya uzinduzi na Mkurugenzi Mtendaji waBenki hiyo ya kuwapatia wajasiriamali wanawake mafunzo yakibiashara na taaluma ya kufanya michanganuo ya Mradi ya Kiuchumiimekwisha tekelezwa?NAIBU WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTOalijibu:-Mheshimiwa Spika, naomba kujibu swali la Mheshimiwa Janet Bina Kahama,Mbunge Viti Maalum, lenye sehemu a, b, na c kama ifuatavyo:-(a) Mheshimiwa Spika, idadi ya wateja waliokopeshwa hadi Juni, 2010 ni 3,200wanawake wakiwa 2,665 na wanaume 535. Thamani ya mikopo hiyo yote ni Tsh. Milionimia tisa (900 m.). Kati ya wateja hao waliopewa mikopo wateja 360 ni wanawakewaishio vijijini katika maeneo ya Ukonga Kipunguni na Kibaha. Thamani ya Mikopoiliyotolewa kwa wanawake wa Vijijini ni Tsh. Milioni sitini na nne (64m.). Aidha,masharti ya mikopo ni kuanza kufungua akaunti yenye thamani ya asilimia 25 kamaamana ya mkopo na kuwa kwenye kikundi ambacho ndicho dhamana ya mwanakikundi.Vilevile, hati ya makazi, hati miliki ya nyumba, kiwanja na kadi ya gari hutumika kwadhamana ya kupewa mkopo ya kibiashara.(b)Mheshimiwa Spika, idadi ya Watanzania ambao wamenunua hisa katika Benkiya Wanawake ni 134, wakiwemo wanawake 90 wenye hisa zenye thamani ya shilingi79,450,000?= na wanaume 44 wenye hisa za thamani ya s hilingi 46,728,000/=.(c)Mheshimiwa Spika, ahadi iliyotolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki yaWanawake ya Tanzania siku ya uzinduzi wa benki hiyo kuhusu kuundwa kwa idara yakutoa mafunzo kwa wajasiriamali imetekelezwa. Mafunzo ya biashara na taaluma yakuandaa michanganuo ya miradi ya kiuchumi kwa wajasiriamali yanaendelea kutolewa.Aidha, mafunzo hayo, ambayo ni ya lazima kwa ajili ya kuwaadaa wateja kablaya kupewa mikopo hutolewa kwa muda wa wiki tano.6

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!