11.07.2015 Views

Read - Polis

Read - Polis

Read - Polis

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Mheshimiwa Spika, kwa kuzingatia Waziri Mkuu kuwa ni mtoto wa mkulimanaomba nizungumzie kilimo, pamoja na serikali kupunguza kodi ya baadhi ya zana zakilimo ila iko hoja ya serikali kutekeleza kwa vitendo nia yake ya KILIMO KWANZA.Mara nyingi serikali utekelezaji wake hubaki katika andiko jambo ambalo huambuliaumasikini kuwepo kwa mabwana shamba, mbolea mbegu bora za kisasa pia kuwepoutaratibu maalum wa mikoa yote kuhakikisha kuwepo kwa huduma zote kwa wakulimakwa wakati. Nchi yetu itaweza kujigomboa katika dimbwi la umaskini kwa kufanikishaazma hii ya serikali juu ya kung‘oa mkulima katika umasikini ni kuwepo kwamiundombinu ya uhakika masoko pamoja na bei nzuri kwa mazao yao. Hayayatawezekana pale serikali itapokuwa na viwanda vya kutosha .Mheshimiwa Spika, kuhusu Elimu, serikali haina upanuzi kwa Nyanja za elimu.Elimu ina mambo mengi sana ikiwemo walimu wa kutosha mashuleni, vitabunakadhalika. Changamoto zinazoikumba wizara ni uhaba wa walimu mashuleni. Vitabujambo ambalo hupelekea wanafunzi kufeli. Serikali inapaswa kukidhi mahitaji yawalimu wenye uwezo mashuleni.Mheshimiwa Spika, baada ya maelezo yangu hayo sina budi kumpongeza WaziriMkuu kwa umahiri wake wakati akiwasilisha hotuba ya Bajeti yake Bungeni. Ahsantesana.MHE. DR. SAMSON F. MPANDA: Mheshimiwa Spika, pamoja na hotubanzuri uliyoitoa kuna mambo muhimu kadhaa ambayo hujagusia, nayo ni kamaifuatavyo:-1. Maendeleo ya Kigamboni, tumesikia fununu kwamba inauzwa kwakmwekezaji. Je, jambo hilo lina ukweli gani ? Naomba utufafanulie?2. Umeme vijijini na hasa kule Kilwa ambapo bomba la gesi halijapita likombali na hilo linaturudisha nyuma kimaendeleo.3. Katika utawala bora ni vema walemavu wakapewa nafasi mbali mbalihasa nafasi za mawaziri, ukurugenzi na kadhalika. Kwani tuna walemavu wengi na niwasomi na wenye uchungu na nchi hii kama illivyo kwa Watanzania wengine.4. Serikali yetu inawachukulia hatua gani wale wanaoghushi vyeti vya shule,vyeti vya kuzaliwa na kadhalika ambao hao wanasababisha kuleta mdondoko katikajamii na nchi yetu ambayo ina sifa nzuri mpaka hivi sasa.MHE. AHMED M. SHABIBY: Mheshimiwa Spika, Napenda kutoa shukranizangu za dhati kwa Mheshimiwa Waziri Mkuu kwa hotuba nzuri aliyotoa leo tarehe 16Juni, 2010.Mheshimiwa Spika, nimeona nami nichangie hotuba hii kwa kina. Kuhusu jamboambalo limeibuka hivi karibuni nchini kwetu la uchanganyaji wa mafuta ya taa na dieselna petrol maarufu kwa jina la (Chakachua).Mheshimiwa Spika, kwa vile mimi ni mfanyabiashara ya mafuta tena mzoefu nanimekuwa nikiliongelea jambo hili kwa mda mrefu sasa hapa Bungeni wakati wa50

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!