11.07.2015 Views

Read - Polis

Read - Polis

Read - Polis

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Aidha, tani 17 za mbegu bora za Mahindi na tani 19 za mbegu bora za Mpungazenye ruzuku zilisambazwa katika Wilaya za Mpwapwa na Bahi katika Mkoa waDodoma. Hivyo basi, hata mikoa ya Kati hususani Dodoma na Singida walipatapembejeo za ruzuku.MHE. JUMA H. KILLIMBAH: Mheshimiwa Spika, ahsante sana kwa kunipanafasi hii ili niulize maswali mawili ya nyongeza.Pamoja na majibu mazuri ya Mheshimiwa Naibu Waziri na hasa hilialilozungumzia juu ya uanzishaji wa Benki ya Wakulima tunakubali baada ya kusikiaBajeti lakini naomba Mheshimiwa Naibu Waziri anieleze.Kwa kuwa, kumekuwa na tabia benki nyingi zinapoanzishwa zinaanzishwamijini hususani Dar es Salaam. Je, kwa hii Benki ya Wakulima ili wakulima wawezekupata huduma iliyo sahihi na kwa wakati, isianzishwe katika maeneo ambayo ni yawakulima na wanaweza kuifikia kwa haraka na wakahudumiwa? (Makofi)La pili, mwaka 2008/2009 kupitia mfuko wa Pembejeo Halmashauri ya Wilaya yaIramba iliidhinisha mkopo wa Matrekta kwa wakulima watatu, Nikodemus na Pegwahuyo anaitwa Milimoduo anatoka Msigiri halafu yuko mwingine anaitwa John Tutuanatoka Ulemo na mwingine anaitwa George anatoka kijiji cha Mambata.Lakini toka mwaka huo mpaka sasa wakulima hao toka wameidhinishiwahawajapata huo mkopo pamoja na kuanzishwa kwa hili dirisha dogo. Je, MheshimiwaWaziri anasemaje ili hao watu waweze kukidhi Kilimo Kwanza?NAIBU WAZIRI WA KILIMO, CHAKULA NA USHIRIKA: MheshimiwaMwenyekiti, napenda kujibu maswali mawili ya nyongeza ya Mheshimiwa Juma H.Killimbah, kama ifuatavyo.Kwanza napenda kumpongeza sana Mheshimiwa Killimbah kwa jinsianavyowatetea watu wake wa Jimbo lake la Iramba Magharibi, anawatetea kwa kila sektahususan sekta hii ya kilimo.20

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!