11.07.2015 Views

Read - Polis

Read - Polis

Read - Polis

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

than words).Kuna haja ya kupunguza maneno na maandishi (Actions speak launder Kuna haja ya kufufua siasa ya Ujamaa na Kujitegemea (Moyo huuunapunguza). Haja ya kufufua haraka Elimu ya Kujitegemea Mashuleni. Leo mashambaya shule ya Elimu ya Kujitegemea yamegeuka mashamba ya walimu na kuzifanya shulekushindwa kupata hata fedha ya kununua chaki au karatasi.Mheshimiwa Spika, naunga mkono hoja.MHE. SAVERINA S. MWIJAGE: Mheshimiwa Spika, Muda umekuwa mfupisana michango ni mingi sana naomba niongezee kwenye mchango wangu kwakuzungumzia Kamatai ya Hesabu za Serikali (P.A.C.). Tumetembelea Kilimanjaro -Moshi, mpakani mwa Kenya na Tanzania. Tumeona Customs zetu na za Kenya zakwetu ni aibu inatia aibu sana majengo yalivyo sehemu za kupaki magari yanayofikiapale pamoja na kazi nzuri ya TRA inayofanya ya ukusanyaji wa mapato majengoyenyewe yalivyo aibu Serikali yetu inaonekana haijali watumishi wake ndio maanaWasomalia hupitia kwa urahisi kutokana na mazingira yalivyo pamoja na barabarakutoka mwanga hadi Usangi. Serikali iwe inaangalia sehemu hizo wananchi wa hukoUsangi wana mazao mengi hawana pakuyapeleka kwa sababu ya miundombinu.Pensheni imeboreshwa na iwe inawafikia kwa wakarti muafaka. Shida nyingi kwawastaafu, wanategemea hapo hapo mpango wa kuuza bidhaa zetu nje kwa kuuza uchumiswala hili likifanyika tutashukuru hata kahawa zetu turuhusiwe kuuza nje kuuza viwandavyetu pamoja na matunda yetu tunayalima hapa nchini. Kero ya wakandarasi wamekuwani kero. Naomba Serikali ifanye uchunguzi mkubwa pamoja na TANROAD ndiowanawapa viburi watengeneze vibaya barabara kusudi wasimamishwe ili serikali iwalipe.Je, kiburi ni cha TANROAD au ni wizara au ni serikali. Hizo pesa zinazolipwa ikipigwahesabu zinaweza kutengeneza barabara nyingine.Narudia tena kusema kuwa Bajeti iwe inalenga sehemu ambazo ni muhimusana.Wanatoa misaada kwa watoto yatima na walemavu kwenye vituo mbalimbalikishule Mgeza mseto na mgeza shule ya msingi. Zaidi sana nilitembelea kwa mara yakwanza Kagera. Hata kuwatembelea unawapa moyo watu wa Bukoba Mjini, Kata yaKahororo. Chonde chonde zaidi ya watoto wana matatizo makubwa wanakolala.Vitendea kazi serikali iboreshe kituo cha Afya zamzam kiweze kutusaidia kama wilayakupunguza msongamano wa hospitali ya mkoa, sindano madawa kliniki shughuli zotezirudi hapa na vurugu malalamiko yatapungua kwa wananchi.Mheshimiwa Spika, napenda kujua kuchangia huduma ya Afya kwenye hospitaliya Bukoba wananchi wengi wanalalamika. Mwananchi kukata cheti na kuona Daktari5000, wanaandikiwa dawa wanaambiwa hakuna dawa ukanunue na pesahawakurudishiwi pesa ni kero kama tunavyo jua kipato cha wananchi. (Makofi)Mwisho natoa rai kwa Watendaji wote Wakuu wa Wilaya wanaopelekwa MkoaniKagera na kuamua kupiga walimu viboko basi hivyo viboko wapigwe kwa mishaharawatu walipelekwa shule wakasoma kwa nguvu za wazazi leo hii unawadhalilisha mbeleya wanafunzi heshima iko wapi. Malezi yako wapi?44

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!