11.07.2015 Views

Read - Polis

Read - Polis

Read - Polis

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Waziri Mkuu, je, ni kwanini sasa Wizara hii isitenganishwe kwamba kuwe na Wizara yaHabari peke yake na Wizara ya Utamaduni? Kwa sababu kama utamaduni inamezwandani ya Wizara ya Habari ina maana Utamaduni haishughulikiwi, sanaa inakuwahaishughulikiwi.Mheshimiwa Spika, Wasanii wanapata matatizo makubwa sana. Nilikwishawahikuzungumza hapa ndani ya Bunge na ukanikataza nisilie kwa ajili ya Wasanii, sasa badotunaona kwamba hata kwenye hotuba ya Waziri Mkuu, Wasanii bado hawajatajwa. Kwahiyo, naomba sana ili Wizara hii iweze kutenganishwa ifanye kazi sambamba namatakwa ya sanaa hapa nchini.Mheshimiwa Spika, labda Mheshimiwa Waziri Mkuu anijibu, je, ni kwa ninimpaka sasa hakuna bodi ya COSOTA kwa ajili ya kushughulikia masuala ya wasanii?Mheshimiwa Spika, nampongeza kauli ya Mheshimiwa Waziri Mkuu kwambamatumizi ya magari yaweze kupunguzwa na tumeona kwenye bajeti kwamba, hakunaununuzi wa magari. Sasa niulize je! ni kiasi gani Serikali imeweza ku-save kutokana nakubana matumizi ya ununuzi wa magari na hizo pesa, je, zimetumika kwa kitu gani?Lakini pia nataka kushauri kwamba, basi fedha hizo zielekezwe katika kununuavitendea kazi hasa kwenye upande wa Jeshi la <strong>Polis</strong>i. Wamekuwa wakifanya kazi katikamazingira magumu sana ukizingatia kwamba hawana usafiri, basi wanavyobana kwenyesekta zingine naomba Jeshi la <strong>Polis</strong>i liangaliwe kwa undani zaidi. Hasa katika Mkoa waSingida tuna gari moja tu. Nampongeza sana Kamanda wa <strong>Polis</strong>i wa Mkoa ule MamaKaluba tunasema, tunaweza na tunaweza kweli amekuwa akifanya kazi sambamba,amekuwa akishirikiana sana na vijana wake. Nawapongeza sana. Lakini ninaombawaangaliwe kwa jicho la huruma, waongezewe magari. Maana kuna gari moja tu.Mheshimiwa Spika, Waziri Mkuu alipofanya ziara katika Mkoa wa Singida, garila escort kama inaweza ikabaki nyuma hiyo haiwezi kuitwa escort. Lakini bado hatatulipopokelewa na maafisa wa hapa Dodoma gari ikaanza kufuka moshi ilibidi ikaepembeni. Kwa hiyo, naomba sana suala la usafiri kwenye upande wa polisi waangaliwezaidi kwa jicho la huruma upande wa Singida.Mheshimiwa Spika, lakini pia napenda kuzungumzia suala la afya. Tunaombasana zile pikipiki za miguu mitatu za kuwasaidia akinamama wakati wa kujifunguawanashindwa kufika katika maeneo ambayo wanaweza wakapata huduma kwenye vituovya afya haya magari yamekuwa yakiimbwa sasa huu ni mwaka wa tatu au wa nne.Nilikuwa naomba sana mwaka huu haya magari, hizi pikipiki za miguu mitatu ziwezekununuliwa kwa ajili ya kuwasaidia akinamama.Mheshimiwa Spika, zaidi ya yote napenda kuunga mkono hoja hii kwa asilimiamia moja, naomba bajeti hii kwa sababu inaishia mwaka 2011 basi iangalie yale maeneoambayo Serikali haijakamilisha, naamini imeshakamilisha kwa kiasi kikubwa sanakilichobakia ni kidogo tu. Lakini iangalie kwa jicho la huruma sana ile barabarainayotoka Singida kwenda Babati isije ikasuasua kama hii ambayo tunaisifia sasa hivi,42

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!