11.07.2015 Views

Verbatim Report of - ConstitutionNet

Verbatim Report of - ConstitutionNet

Verbatim Report of - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

12sisi ni kama tunagandamizwa sana na hawa wanyama wa pori. Wametulalia, na serikali na Katiba ili iliyoko ni kwamba inajaliwanyama kushinda binadamu-maana kwa kweli huwa tunapitwa tukiambiwa ukiguza tu-huyu mnyama anaitwa ndovu,ukimuguza tu, ndege watashuka hapa kama nyuki. Na kwa kweli huwa tunapita hapa kuwachunga tu kama mbuzi. Wanapotuingilia kutuharibia mimea wetu huwa tunatakaa tu kuwafukuza tu, na ni hatari kwetu sisi.Kwa hayo hata ningeomba kwanza iwe katika Katiba ni kwamba, huyo munyoma wanaohusika na wanyama pori, wawalindewakae mbuganihuko. Otherwise wakipita pia na sisi tuwe na kuru wakitukanyangia pia na sisi tukae sambomba na wao.Maana nafikiri Katiba inawaruhusu wao, tukikutwa huko kwa misitu zao huko pia tuna adhibiwa vilivyo. Pia sisi wakinigiatuwadhisu vilivyo.Jambo lingine ni kuhusu squatter issue. Hii mambo ya squatter issue huwa ninaona kama Katiba ya wakati huu haisingatii sanamaana mimi ninavyoelewa ni kwamba squatter anatakikana awe mwenyeji-lakini hapa utakuta squatter ni mtu mja-na sijui huyosquatter mja-kuja anatokea wapi hapo tangu sijui----akiota kama ndege. Nafikiri kuna mahali alikuwepo, kwa hivyo awesquatter mahali pake pa kuzaliwa-asiwe squatter mahali ya nchi ya mwingine- sehemu ya mwingine. Maana tayari ile ardhilabda ilikuwa budgeted na wenyewe halafu unakuta mwengine ametoka huko sijui ni mwizi, sijui ni nini, amekuja amekaa mahalikama hapa Taveta, imekuwa ni dumping place ya watu waovu wote.Kwa hivyo tunataka kama ni squatter pia iwe at least Katiba inafuatilia na serikali inafuatilia kwamba huyu squatter alitoka wapi,alianzia wapi, kitambo aitwe sqatter mahali fulani. Na mambo ya settlement scheme. Settlement scheme nafikiri ikitolewa kamaimetolewa tuseme mahali kama hapa Taveta, ina-settle wale watu wenyeji wa pale-at least kama kweli shida itakuwa imezidinchini, at least inatakana at least 5% ndio wale wengine wangaliwe masilai yao lakini 95% iwe ni ku-settle wale watu wa palepale, wenyeji wa ile sehemu.Jambo lingine pia ningetaka kuongezea ni kuhusu mambo ya land. Unajua kama hapa tuseme hapa Taveta zamani tulikuwatunajua kuna hawa local elders ambao walikuwa wamebansilia ratiba za ardhi. Lakini nafikiri ilivurugwa na serikali na pia hayamambo ya uongozi kuja- watu kuja kulet uongozi t<strong>of</strong>auti hapa-kuja kupigania viti hapa. Lakini tunataka kabisa Katiba izingatiehawa local elders wapewe nguvu kamili; Kama hapa kwetu tuna local elders ambao tunaita Njama. Wale ndio wazeewaliokuwa wanatuongoza na kutuelekeza jinsi watu wanakaa na mipangilio-everything kufuatana na serikali. Kwa hivyotunataka hawa local elders, Njama hiyo itpewe nguvu na Katiba ya leo. Basi hapo tutajua kweli mambo yetu yatakuwa sawa.Upande ya education, kuna mambo ya education. Unaona kwa kweli serikali upande mwingine tunavyosikia, kama viongoziwanaayongea kwamba wanajali watu ambao hawajiwezi, lakini naona sio hivyo, kwani inatakikana kama kweli-kuna watumasikini kwa kweli na wanashindua kufundisha watoto wao, lakini sasa unakuta hata zile bursaries zinazotolewa, zinalenga walewatu ambao wanajiweza tayari. Kwa hivyo, at least hii ingepita kwa mashule, kama ni secondary schools, ipite through theHeadmasters waangalie nani ana shida kubwa. Hiyo bursary iwe inalipwa kutoka pale pale shuleni. Iposiwe pale, unangalia ile

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!