11.07.2015 Views

Verbatim Report of - ConstitutionNet

Verbatim Report of - ConstitutionNet

Verbatim Report of - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

34wanaweza kuitatua vizuri zaidi. Na wafungwa wa makosa madogo madogo wawe wanafanyia kazi katika zile sehemu za ummakama mashule, mahospitali na (inaudible) Yangu ni hayo. Asanteni.Com. Pr<strong>of</strong>. Idha Salim: Umesema kwamba kusiwe na uhuru wa dini-ungeweza kufafanua zaidi, kwa nini kusiwe na uhuru wadini?Josephat Leshamta: Kwa sababu siku hizi watu wengine wanaleta(inaudible)wakitoka mbali ambazo(inaudible)Com. Idha Salim: Yaani ni general worshiping peke yake ambayo unapinga au kuna dini zingine ambayo unapingapia(inaudible)Joseph Leshamta: (He answers but his answer is inaudible)Com. Idha Salim: Yaani wapendelea dini za kienyeji tu peke yake na hiyo dini tuseme kama Hinduism ikiwapo, mabanianiwasiwe na haki ya kuabudu? Na ikiwa ni wananchi?(answer inaudible) Pia unasema kwamba wananchi au citizenship upewemke wa Mkenya?Josephat Leshamta: Katika mila za Mwafrika mwanaume ndiye anaoa. Sasa kama mwamamume ameoa mwanamkekutoka sehemu ya Tanzania ama Uganda kwa ndoa takatifu ama ndoa ya serikali apewe uraia…….Com. Idha Salim: Na ikiwa ni mwamamke Mkenya hawezi kumuoa mtu wa nje na yule mume akepewa pia uananchi?Josephat Leshamta: Kwa maoni yangu, kwa sababu(inaudible) wanawake hawaoi wanaume mimi sioni kwamba ni yamaana. Asante.Com. Pr<strong>of</strong>. Idha Salim: Yaani hapa huamini kwamba kila Mkenya ana haki zake sawa na mwenzake akiwa wa kike au wakiume?Josephat Leshamta: Wanatakiwa wawe na haki zao(inaudible)Com. Pr<strong>of</strong>. Idha Salim: Moani yako, asante.Com. Domiziano Ratanya: Hapo ningependa kupata kitu kidogo tu. Kwa upande wa dini, unasema lazima ikubaliwe namwananchi. Kama ya Hindi, ni kama hii ya zamani kama ya Catholic ama zingine? Wananchi wakikataa, sasa ungesema ajehapo kwa maoni yako?

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!