11.07.2015 Views

Verbatim Report of - ConstitutionNet

Verbatim Report of - ConstitutionNet

Verbatim Report of - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

50Com. Domiziano Ratanya: Tena ningetaka kukujulisha kuwa katika Government Press, hiyo gazetti inauzwa n asioni watuwakinunua.Nimrod Mutangaoru: Sasa kuja kuuzwa (inaudible) kwa sababu unaona kwamba ndio pengine kumnyima haki maana kunawale wasioweza kununua kama hata hakuwa ameiona na anataka kuinunua ama amesikia, hana uwezo pale (interjection)kwamba ihakikishwe kwamba pengine vyombo ambayo viko karibu na wananchi kama DO’s, Chiefs na Assistant Chiefswapate hizo a waweze kuwambia wananchi wa pale.Com. Domiziano Ratanya: Lakini tena unajua ma-DO wana hizo copies-DC’s na ma-DO’s.Nimrod Matangoru: Kama ituakuwa (inaudible)lakini (inaudible).Com. Domiziano Ratanya: Kwa hivyo wewe maoni yako unaomba kwamba ziweze kufanyiwa nini ziwe kufikawananchi?(inaudible answer) Pengine hayo ni maoni yako? Kwa hivyo tunashukuru sana Nimrod. Na tuende kwa Gregon K.Nyalo, Gregon hayuko? Julius Matheka? Francis Ndogaine? Councilor Penina? Amepeana memorandum? na hata naonahata Francis alikuwa na memorandum, amepeana huko? Godfrey Jumamosi?Godfrey Jumamosi: Kwa majina yangu ni kama hivyo-Godfrey Jumamosi. Nina maoni machache kuhusu Katiba hii ambayotunarekebisha hivi sasa, ambayo tumepewa nafasi tutoe maoni yetu. …..ningetaka tu (inaudible) kwamba kuhusu muundo waserikali ambayo tunaitamani ije kwa wakati huu ambao tunaendea.Kwa maoni yangu nilikuwa napendelea kwamba tuwe na serikali ya majimbo na majimbo haya yagawanywe kulingana na vileyalivyo hivi sasa-mkoa wa Pwani, kwa mko wa kati na zingenezo na mipaka ya iwe hiyo hiyo. Katika majimbo hayo, nilikuwana mambo fulani nilikuwa na pendandikeza, na niyaweke wazi kama maoni yangu vile ingeweza kusaidia katika uongozi.Kuanzia chini kabisa pawe na wazee waa mitaa ambao watakuwa wanachaguliwa na wananchi wa sehemu hiyo.Pili, kuwe na kata ndogo kama zilivyo na hizo kata ziwe pia na Sub-Chief ambaye atakuwa pia anachaguliwa lakini katikauchaguzi ambayo ninapendekeza kuwe kuna kama tume ama njama, kama Wataveta walinyakuwa zamani hapa, walikuwawana njama kama vile Wakikuyu walivyokuwa na Gema; Basi hao watu wawe ndio watu wanaweza kupendekeza hao watuambao watatawala hizo kata ndogo maana watakuwa wanawajua na pia watakuwa wana hakikisha kwamba ni watu ambaowanaweza kuongoza watu katika njia inay<strong>of</strong>a kuliko kuajiriwa straight na serikali. Pili, katika location pawe na Chief ambayepia atachaguliwa na hao hao watu wa njama ambao watakua wanamujua mtu hule mzuri na katika maongozi yake kamailivyokuwa hapo zamani.Pia, katika ngazi za u-division, kuwe na DO ambaye atakuwa ameajiriwa na serikali hiyo ya majimbo na pia napendekeza pawe

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!