11.07.2015 Views

Notes to the Financial Statements (cont'd) - Kenya Airways

Notes to the Financial Statements (cont'd) - Kenya Airways

Notes to the Financial Statements (cont'd) - Kenya Airways

SHOW MORE
SHOW LESS
• No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

20 Kenya Airways Annual Report & AccountsTaarifa ya Mwenyekiti (unaendelea)Afrika, ambayo ndio kitovu cha Kenya Airways inatoa nafasi za kipekee kuhudumia miji ambayo haihudumiwi ipasavyo au haihudumiwi kabisa. Kenya Airways itaendelea kuchagua na kufungua njiampya na kuongeza safari za ndege kwa zile njia zilizopo zinazohitaji.Ufufuaji wa uchumi wa kimataifa ambao umeanza kushuhudiwa nchi za Magharibi, Mashariki ya Kati na Asia unatarajiwa kufaidi Afrika na uchumi wa Kenya. Hii, kwa upande mwingine, inapasakuimarisha hali ya baadaye ya Kenya Airways mnamo 2010 na hata zaidi.Bodi hata hivyo, inatambua kuongezeka kwa ushindani. Hii inamaanisha kwamba, Kenya Airways haina budi kutambua hali hii na kutekeleza mikakati kuimarisha ukuaji na faida. Nguzo kuu za matokeobora ni idadi ya abiria, matokeo bora na udhibiti wa gharama za usimamizi. Kampuni haina budi basi, kuwekeza katika ununuzi wa ndege mpya, mafunzo ya wafanya kazi na kuimarisha mifumo yakeya utendaji kazi. Wasimamizi wanajitolea kuhakikisha huduma bora kupitia, miongoni mwa mbinu zingine, ndege kuondoka kwa wakati ufaao ili kutosheleza na kuzidisha matarajio ya wateja.Faida ya Kenya Airways baada ya ushuru mnamo 2009/10 ni bora ikilinganishwa na hasara iliyopatikana mwaka uliota ngulia. Bodi ina matumani kwamba utendaji kazi wa kampuni utaendeleakuimairika katika miaka ijayo.Bodi inachukua fursa hii kushukuru wateja wake wote, wafanya kazi na wasimamizi na wauzaji wetu kwa mchango wao katika ufanisi wa shirika hili.Mgao wa faidaBodi inapendekeza mgao wa kwanza na wa mwisho wa faida wa Sh1.00 kwa kila hisa wa Sh1.00 kwa kila hisa, ili kuidhinishwa na wenyehisa kwenye Mkutano Mkuu wa Kila Mwaka mnamo Ijumaa24, 2010. Hiyo ni jumla ya malipo ya mgao ya Sh462milioni. Mgao huo utalipwa mnamo au karibu na Oktoba 22, 2010 kwa wenyehisa ambao wamo kwenye Sajili ya Wanachama kufikia mwisho washughuli za sIku mnamo Septemba 24, 2010.Umilikaji wa hisaIdadi ya wenyehisa kwenye Sajili ya Wanachama kufikia Machi 31, 2010 ilikuwa 75,006. Kati ya hizi, 34, 978 wamezima hisa zao zisitumike na badala yake kuegemea CDSC Nominees Limited nakufungua akaunti katika Central Depository System. Maelezo kuhusu wenyehisa kufikia Machi 31, 2010 yamo kwenye ukurasa 47.WakurugenziBodi ina furaha kutangaza kuteuliwa kwa Dkt Cyrus Njiru na Bi Salma Mazrui Watt kwa Halmashauri ya Wakurugenzi mahali pa Bw Micah Cheserem na Mhandisi Abdulrazak Ali ambao walijiuzulumnamo Juni 4, 2009 na Januari 28, 2010 mtawalia. Bodi inachukua fursa hii kuwashukuru Mhandisi Ali na Bw Cheserem kwa mchango wao mkubwa.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!