11.07.2015 Views

Notes to the Financial Statements (cont'd) - Kenya Airways

Notes to the Financial Statements (cont'd) - Kenya Airways

Notes to the Financial Statements (cont'd) - Kenya Airways

SHOW MORE
SHOW LESS
• No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kenya Airways Annual Report & Accounts43Taarifa ya Afisa Mkuu (unaendelea)bora zaidi sambamba na viwango vya sekta hii.Hii itachangia pakubwa kwa OTP na kuongezauwezekano wa kukarabati ndege. Na sasa nyingiya ndege zetu zinafanyiwa ukarabati Nairobi. Serayetu ni kufanya ukaguzi wa ndege nchini kadiriinavyowezekana na tunapeleka nje shughuli ambazozinahitaji utaalamu zaidi ambao KQ haina uwezo wakushughulikia. Wasimamizi na wafanyi kazi wa idaraya Uhandisi na Ukarabati wanajivunia kukamilikakwa mpango wa kufanyia ukarabati huo ndani yakampuni.Wasimamizi wanajitolea kufanikisha mfumo wa OTP.Katika kipindi cha miezi sita iliyopita, huduma zakiufundi kwa mashirika mengine yalingizia mapatokampuni. Mapato yanaendelea kuwa mengi kufuatiakuongezeka kwa mahitaji ya huduma za kiufundikutoka kwa mashirika mengine ya ndege na kampuniza humu nchini. Idara hiyo kwa sasa inajiandaa kwamajukumu zaidi kutoka nje katika kipindi kijachocha matumizi ya fedha.Wajibu wa kampuni kwa jamii (CSR)Kampuni iliendelea kushughulikia nyanja za Elimu,Maji, Afya na Mazingira kama sehemu ya wajibuwake kwa jamii wakati wa kipindi tunachoangazia.Miradi ifuatayo ilikamilika vyema.d) Kasagam Secondary School, Kisumu, Kenya kwa mara nyingineimenufaika, na wakati huu kupitia ujenzi wa Maabara yaKompyuta kwa gharama ya Sh2,000,000.e) Kasarani Tree Special School Nairobi, Kenya ilinufaika na ujenziwa karakana ya useremala kwa gharama ya Sh2,000,000Maji:Kwa lengo la kutoa suluhisho la kudumu la usambazaji maji safina ya kutosha katika sehemu zinazoathirika katika maeneo yamashambani kote Afrika, miradi ifuatayo ilinufaika katika kipindihicho. Jamii ya Gaigedi, Vihiga, Kenya kwa kuchimba kisima katikaGaigedi Secondary School na kuweka tangi kubwa ya maji kwagharama ya Sh2,000,000.a) Jamii ya Epworth, Harare, Zimbabwe kwa kuchimba kisimakaribu na kituo cha kijamii na kuweka tangi kubwa kwa gharamaya Sh1,800,000.Mazingira:Kampeni ya ‘Panda Siku Sijazo’ ilituwezesha kudhibiti zaidi eneoambapo tumekuwa tukipanda miti tangu 2007. Mwaka huu,tulibadilisha miche 90,000 ambayo iliathiriwa na ukame wa mudamrefu na kupanda mingine ya kiasili 30,000. Mradi huu tayariumefikisha jumla ya miti ya kiasili 500,000 imepandwa.Afya:Mradi wa “Bombay Ambulance” unatoa msaada kwa wagonjwawanaosafiri nje ya nchi kwa matibabu. Idadi ya tikiti ambazogharama yake ilipunguzwa kwa wagonjwa maskini waliosafiring’ambo kwa matibabu ilikuwa 44 hadi Mumbai, 2 Amsterdam,na 1 kila moja kwa Cairo na London.Kampuni pia ilisaidia miradi ifuatayo:Mradi wa kuwasaidia waathiriwa wa mkasa wa tetemeko la ardhiHaiti kwa ushirikiano na Red Cross Februari 4 – 28, 2010 ambaoulihusisha ukusanyaji wa masalio ya pesa kutoka kwa wasafiri.Mradi huo ulikusanya Sh500,000. Waathiriwa wa maporomokoya ardhi Uganda walipokea msaada wa chakula cha thamani yaSh600,000 ambao ulisafirishwa hadi mashariki mwa Uganda.a) Mradi wa AMREF/Rotary wa “Badilisha Maisha “kufikia sasaumekusanya Sh1,643,928. Mradi huu kwa sasa unaendeleakuchunguzwa kwa lengo la kuhakikisha ufanisi wake.ZIDISHA JUHUDI ZAKOHuu ni mpango ambapo wafanya kazi wa KQ staff wanapendekezana kuchangisha pesa kwa miradi ya kunufaisha jamii kupitia idarazao na kupokea kiasi kama hicho kutoka kwa bajeti ya CSR ya KQ.Miradi iliyonufaika na mpango huu ni pamoja na:«Elimu:Sambamba na ari za “Kupanga Shule,” KQ ilisaidiashule kadha.a) Mangu High School, Thika, Kenya ilipokeamsaada kupitia ujenzi wa darasa la kompyutakwa gharama ya Sh750,000.b) Ikuu Girls Secondary and Special School, Chuka,Kenya ilipokea msaada kupitia ujenzi wa bwenikwa gharama ya Sh1,300,000.c) Esupetai Primary School, Narok, Kenya ilipokeaudhamini wa ujenzi wa madarasa mawili, uana ununuzi wa tangi ya maji kwa gharama yaSh1,700,000.IDARA MAELEZO YA MRADI MSAADAMCHANGO WAIDARA KSHS.KAMPUNIKSHS.JUMLAKSHS.Commercial – Flying Blue AIC Girls School – Kajiado Ununuzi wa vitanda 61,300 61,300 122,600Ukaguzi wa hesabu Laverna Day & BoardingUjenzi wa viyoo 90,000 90,000 180,000Primary School – Donyo SabukTeknolojia ya Mawasiliano Nyauu Primary School – Homa Bay Ukarabati wa madarasa 54,000 54,000 108,000FedhaEsageri School for theUnunuzi wa vitanda 200,000 200,000 400,000Deaf – Eldama RavineMasuala ya wafanyi kazi Mutulani School - Machakos Ujenzi wa viyoo 103,900 103,900 207,800Jumla 509,200 509,200 1,018,400

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!