11.07.2015 Views

Notes to the Financial Statements (cont'd) - Kenya Airways

Notes to the Financial Statements (cont'd) - Kenya Airways

Notes to the Financial Statements (cont'd) - Kenya Airways

SHOW MORE
SHOW LESS
• No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kenya Airways Annual Report & Accounts41Taarifa ya Afisa Mkuu (unaendelea)na utaratibu wa kukaa. Matumizi kamili ya Orodhaya Altea yalianza Juni 2010. Orodha ya Altea inaushirikiano wa karibu na Altea Reservation, ambayoinajali zaidi maslahi ya wateja na hivyo kuimarishahuduma kwa wateja.Mfumo wa kukata tikiti kupitia mtandao waAmadeus na Galileo ETATAmadeus E-Ticket Direct na Galileo ETATzinawezesha maajenti walioidhinishwa katikamaeneo yasiyo wanachama wa IATA/BSP kutoatikiti za elektroniki kwenye akiba ya KQ.Mbinu hizi zinaimarisha usambazaji wa tikiti kupitiakwa mtandao kwenye masoko yasiyo wanachama waIATA/BSP, kukabiliana na ulaghai (ambao ni kawaidakwenye tikiti za kawaida) na kupunguza gharama yakuchapisha tikiti za karatasi na usambazaji wake.Mfumo huo utasambaza manufaa yaliyopo katikamasoko ya BSP kwa wateja wa KQ katika masokoyasiyo wanachama wa BSP. Mwaka uliopita, yotehayo yalitekelezwa katika masoko yafuatayo yasiyowanachama wa IATA/BSP: Sudan, DRC, Rwanda,Burundi, Sierra-Leone, Seychelles, Djibouti naMadagascar.Mifumo ya miundomsingi ya viwanja vya ndegeAfrikaKikosi cha IS kilianzisha kaunta za muda katikaviwanja kadha vya ndege Afrika kama vileBujumbura, Kinsasha, Gaberone, Douala, Zanzibarna Lubumbashi. Hii imewezesha wafanya kaziwetu wanaohudumia wasafiri katika viwanja hivyovya ndege kuhamisha kaunta hizo hadi afisiniwanapokagua abiria wanaosafiri.Baadaye zinarudishwa baada ya ndege kuondoka.Hii imechangia hali bora ya usalama kwa mitamboya kompyuta ya kukagua wanaosafiri, na hivyo basi,kuhakikisha wateja wanasafiri kwa wakati ufaao.Usalama wa ISMbali na kutekeleza na kutumia mifumo kadha ya mawasilianona habari kwenye ndege, ni muhimu pia kuendelea kutambuahatari zozote za kiusalama na kuimarisha jitihada za kukabilianana vitisho vyovyote vya usalama kutoka nje na ndani. Mwakauliopita, tulifanya tathmini za kiusalama kwenye mifumo 6. Dosarizilizogunduliwa tayari zimerekebishwa.OPERESHENI ZA USAFIRIUteuzi na mafunzo kwa wafanyi kazi ni shabaha muhimu ya Idaraya huduma za UsafiriMarubani 24 mwanzoni waliajiriwa katika mwaka uliomalizikana kwa sasa wanaendelea kupokea mafunzo Afrika Kusini ilhaliwengine 23 walioingia moja kwa moja waliajiriwa na sasa tayariwamepokea mafunzo yanayohitajika. Kulikuwa na marubani337 mwaka uliopita ikilinganishwa na idadi inayolengwa ya 370.Kampuni inakusudia kupunguza mwanya huo baada ya marubanihao kurejea Septemba/Oktoba 2010 baada ya kumaliza mafunzoyao, na kuajiri marubani wengine 24 kunakotarajiwa kufanyikamwaka ujao. Wahudumu wetu ndani ya ndege kwa sasa ni 821huku wengine 50 wakitarajiwa kuajiriwa katika kipindi kijacho chamatumizi ya fedha ili kukidhi mahitaji ya mtandao wetu unaopanuka.Ili kuimarisha mawasiliano na ustawi kitaaluma miongoni mwawahudumu wetu wa ndege, Idara ya Usafiri wa Ndege ilifanyamabadiliko kwa shughuli za usimamizi wa huduma ndani ya ndegekwa kuongeza mameneja watatu wanaosimamia safari ili kilammoja asimamie idadi maalumu ya wahudumu. Nafasi sita zamameneja wanaosimamia wahudumu ndani ya ndege pia zilibuniwa.Mameneja hao watasimamia ukaguzi na pia kuhakikisha uzingatiajiwa viwango miongoni mwa wahudumu. Mabadiliko mengine nipamoja na kupandishwa daraja kwa wahudumu wa usafiri 144hadi kiwango cha kimataifa ambao watatoa huduma kwa wasafiriwanaolipa nauli ya juu.Katika mwaka unaomalizika, tulianzisha mpango wa kutoa mafunzoya kibiashara kwa marubani wetu unaofahamika kama ‘FlightOperations Induction Program’. Takribani marubani 50 tayariwamekamilisha mafunzo hayo na sasa wanafahamu kuhusumajukumu yao na athari zake kwa idara zote za shirika.Tunaendelea kuandaa vikao vya wafanya kazi kila baada ya wikimbili ili kukuza mawasiliano katika idara. Katika vikao hivi, matokeoya kampuni, nafasi za kujiimarisha na masuala ya ustawi wa kibinafsikama vile afya na usimamizi wa kifedha yanajadiliwa.Kitengo cha wahandisi wanaosimamia safari za ndege walifanikiwakuweka mfumo mpya wa mawasiliano (ACARS) katika ndege 4 zaB767-300, 2 za B737-300 na 1 ya B737-700. ACARS itaimarishausalama na mawasiliano yaafayo kwa wale waliomo ndani ya ndegena viwanjani. Miongoni mwa manufaa ya ACARS ni pamoja nauchunguzi wa utendaji kazi wa injini ya ndege, udhibiti wa mizigona kufuatilia safari yenyewe. Kuwekwa kwa ACARS kwenye ndegeaina ya B737-300 unapangiwa kumalizika kufikia mwishoni mwaDesemba 2010.Katika kitengo cha chakula, tumefanikiwa kupunguza gharamazetu kwa kupunguza utoaji wa chakula nje ya Nairobi kwa takribaniasilimia 3.6 mwaka uliopita hadi asilimia 5.7 mwaka uliotangulia.HUDUMA ZA VIWANJAUsalamaUsalama ni sehemu muhimu ya azimio la Kenya Airways na wajibumuhimu kwa Idara ya Huduma za Viwanjani. Shughuli yetu kuu ilikuani maandalizi na kuidhinishwa kwa huduma zetu za viwanjani Nairobina Mombasa kwa mujibu wa mahitaji ya IATA kuhusu tathmini yaViwango vya Usalama katika Operesheni za viwanjani (ISAGO).Huu ni mpango unaotambuliwa kimataifa ambao viwango vyakevinazingatia utenda kazi bora. Licha ya matokeo haya mazuri,nusura tuwe na ajali mbaya katika kituo chetu cha mizigo, NairobiCargo Centre wakati wafanya kazi wetu walikuwa wanashughulikiakupotea kwa umeme na hitilafu ya stima.Operesheni za NairobiSambamba na maandalizi na uzingatiaji wa ISAGO, tulianzisha piamikakati maalumu katika mafunzo na uajiri.Tuliwapa mafunzo zaidi wafanya kazi wa ngazi ya kuingilia ndege nakuongeza wasimamizi kwa asilimia 100. Huu ni uwekezaji mkubwana ni karibu sawa na siku 2,640 za mafunzo. Tumekamilisha mfumowa Usimamizi wa Kitovu chetu na kuajiri wahudumu wake.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!