11.07.2015 Views

Notes to the Financial Statements (cont'd) - Kenya Airways

Notes to the Financial Statements (cont'd) - Kenya Airways

Notes to the Financial Statements (cont'd) - Kenya Airways

SHOW MORE
SHOW LESS
• No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

38 Kenya Airways Annual Report & AccountsTaarifa ya Afisa Mkuu (unaendelea)Muda wa kurejesha gharama ya uwekezaji katikampango huu ni chini ya miaka mitatu.Mafunzo ya kiufundiShule ya kutoa mafunzo ya kiufundi ina jukumu lakukuza na kuboresha ujuzi wa kiufundi na kiuhandisiunaohitajika katika usimamizi wa ndege za KenyaAirways. Shule hiyo sasa ina uwezo wa kufunzanyingi ya kozi za uhandisi mumu humu bila usaidizikutoka nje. Kozi hizi zimeundwa kwa ushirikiano wakampuni zinazounda ndege zitakazotumika katikamafunzo. Hii imechangia pakubwa kupungua kwagharama ya mafunzo kwani sasa kozi zinafunzwana wakufunzi wa KQ. Tunatazamia kuwekeza zaidikatika ujuzi wa uhandisi hasa katika kiwango chausanii.Mafunzo ya Huduma za ViwanjaMafunzo ya Huduma za Viwanja zililenga uundajiwa mipango ya kutoa mafunzo ya ndani ili kutimizamahitaji ya utenda kazi. Katika mwaka huu, mipangohii yote ilipigwa msasa na kozi mpya kuongezwa, siotu kudhihirisha mabadiliko katika taratibu za kufanyaoperesheni yaliyofanywa katika mwaka huu, lakini piakulainisha mafunzo hayo na viwango vya kimataifavya usalama wa huduma za viwanja vya ndege, IATASafety Audit of Ground Operations (ISAGO). ISAGOni mfumo unaokubalika kimataifa kutumiwa kukaguambinu za operesheni za usimamizi na mifumo yaudhibiti ya shirika linalotoa huduma za viwanja vyandege kwa mashirika ya ndege.Muhimu miongoni mwa kozi mpya zilizoongezwainahusu usalama wa viwanja, Airside Safety TrainingCourse, ambayo ilijumuishwa na kampeni kabambekuhusu usalama wa viwanja chini ya mada “KQSalama”. Juhudi hizi zilipelekea kupungua mno kwavisa vya ajali kutokana na huduma za viwanja nakuimarika kwa viwango vya uhamasishwaji kuhusuusalama ambayo ilidhihirika katika ongezeko laripoti za visa vya kiusalama.Mpango wa Idara ya Huduma za Viwanja ulikuwakuunda kozi kuhusu operesheni zote za idara hiyo kulingana naviwango vya kimataifa vya hali ya juu. Hii ilitimizwa kufikia mwishonimwa 2009, kwa kujumuishwa kwa zaidi ya kozi 30 zinazohusumaeneo yote ya operesheni za Huduma za Viwanja. Kufikia mwishowa mwaka, asilimia 98 ya wafanyikazi walikuwa wamepata mafunzoya mwanzo na yale ya kunoa ubongo (refresher).Mafunzo ya KibiasharaMwaka 2009/2010 ulikuwa kipindi kizuri na cha kuvutia kwaidara inayosimamia Ujuzi wa Kibiashara. Huku ikiwa na jukumula kufunza makundi ya wahudumu katika ndege, wanaouza tiketina wa mauzo, idara hiyo ilijitahidi kuhakikisha kila mfanyikazianayehusika amepata mafunzo na yuko tayari kuendeleza mipangoya kampuni.Matarajio makubwa ya huduma bora yamepelekea kuundwa kwamipango na mikakati mipya na mahiri. Hizi zitahakikisha wahudumukatika ndege na maajenti wa mauzo wa Kenya Airways wana ujuziwa kutosha wa kufanikiwa katika sekta hii yenye ushindani mkubwa.Mafunzo hayo yanayohusu ujuzi yamekamilishwa na mafunzo yaustawi kwa wafanyikazi wote yanayolenga kuleta mwelewanommoja na kujenga uongozi bora katika viwango vyote vya shirika.Mnamo Januari 2010, idara hii ilizindua kozi yake ya kwanza yakibiashara; Cheti cha Ufundi wa Ndege (The Certificate of AirlineCabin Crew). Hii ni kozi ya cheti ya miezi mitatu kwa yeyote aliyena maono ya kuelekea kuwa mfundi wa ndege siku za usoni. Kikundicha kwanza cha wanafunzi, waliofahamika kama “The Pride Stars”,walifuzu Machi 2010. Mpango sawia wa mafunzo ulitolewa kwawatu wa nje wanaotafuta kufanya kazi katika eneo la huduma zaviwanja na washiriki 24 pia walifuzu Machi wakipewa Cheti katikaHuduma za Viwanja.Kampuni inapanga kuwaandikisha wanafunzi wengine kwa awamunne kila mwaka. Hii itapelekea kituo cha Pride Centre kuipa sektahii wahudumu waliohitimu katika ufundi wa ndege na maajenti wahuduma kwa wateja kila baada ya miezi mitatu.Kuweka Vigezo vya UfanisiMwelekeo uliochukuliwa na kampuni wa kuwa na vigezo vya ufanisi(Company’s Success Factors) umeletwa pamoja katika mfumowa ustadi wa maadili huku maadili haya yakigawanywa katikaviwango vinne vya majukumu. Hivi ni uandikishaji, uchanganuzi,usimamizi na mpango wa urithi. Ili kujaliza mafunzo ya kiujuzi kwawafanyikazi yanayoendelea sasa, na pia kuwapa ujuzi unaohitajikakatika kila kiwango kipya, msururu wa mafunzo ya kukuza uongoziyanatolewa kwa lengo kuu la kuhakikisha mafanikio ya moja kwamoja unapofanya kazi.Kama mkusanyiko wa mafunzo ya kuimarisha ujuzi wa wafanyikazi,zinaipa kampuni mwongozo wa kukuza uongozi na kuwapawafanyikazi mwelekeo mwafaka wa kuimarisha ujuzi wao wauongozi. Mpango wa kutoa mafunzo kwa marubani umepokelewavyema na watumizi na kampuni. Mipango hii ni pamoja na Ustawiwa Kibinafsi, Kujifunza Kuongoza, Uongozi katika Biashara, Uongoziwa Kiwango cha Juu katika Biashara na Kuboresha Usimamizi.Ustawi EndelevuUstawi Endelevu ni mfumo wa kuhifadhi mipango bora kusaidiashirika kutoa huduma bora bila kukoma, kuondoa uharibifu na kupitaviwango vya malengo. Kwa kujumuisha mipango hii na kuiwekakatika taratibu za shirika, makampuni yanaweza kuendelezaviwango vya juu vya bora katika utendakazi wake na hivyo kufikiahadhi ya “Huduma Bora za Viwango vya Kimataifa”.Kwa kuimarisha utekelezaji wa shughuli zake, Kenya Airwaysyaweza kufikia hadhi hii. Hii itatimizwa kwa kulenga desturi kama;Kufanya Kazi kama Timu (Team Work), “5s” (Sort, Shine, Store,Standardize and Sustain), Vipimo vya Utendakazi Unaodhihirika(Visual Performance Measurement) , Ustawi ulio na Mwelekeo(Focused Improvement) na Kuongoza na Kukabiliana na Mabadiliko(Leading and Managing Change). Desturi hizi zinaenda sambambana misheni ya kampuni ya mwaka 2010/2011 ambayo ni kuletamafanikio na ufanisi ili kuwa shirika salama, lenye faida na lakiwango cha kimataifa.Mara tu Kenya Airways itakapokubali na kufanya mambo hayakuwa desturi yake, shirika hili litakuwa na uwezo wa kukabilianana masuala kama kuendeleza mazingira yenye utaratibu nasalama ya kufanya kazi, kuimarisha uzalishaji na utendakazi,kuondoa uharibifu na kupanga ufanisi wa shirika. Desturi hizinzuri hazitaifaidi tu kibiashara bali pia zitawezesha kila mfanyikazikuchochea na kuimarisha uwezo wao kamili.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!