12.07.2015 Views

Hotuba ya Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi 2012 ... - HakiElimu

Hotuba ya Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi 2012 ... - HakiElimu

Hotuba ya Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi 2012 ... - HakiElimu

SHOW MORE
SHOW LESS
• No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

80. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2011/12, Wizara, kupitiaTume ya Vyuo Vikuu Tanzania, ilitekeleza yafuatayo:(a) ilitathmini ubora wa programu 81 za masomo ya Vyuo Vikuuna vyuo vikuu vishiriki nchini kwa lengo la kuziidhinisha;(b) iliendesha warsha 7 za kuwajengea viongozi uwezowa uongozi, kwa kushirikiana na taasisi ya CarnegieCorporation of New York ambapo jumla ya viongozi106 wa Vyuo Vikuu vya Tanzania walihudhuria. Kati yahao, viongozi watatu kutoka State University of Zanzibar(SUZA), Nelson Mandela African Institute of Science andTechnology (NMAIST) na Hubert Kairuki Memorial University(HKMU) walitembelea Vyuo Vikuu vya nje kwa lengo lakujifunza mbinu mbalimbali za uongozi na maendeleo yaVyuo Vikuu;(c) ilikamilisha andiko la Mfumo wa Sifa Linganifu za Elimu yaJuu (University Qualifications Framework) kwa kushirikianana The Netherlands Initiative for Capacity development inHigher Education (NICHE);(d) ilikamilisha rasimu ya kwanza ya ‘Mfumo wa Kitaifa waSifa Linganifu’ (National Qualifications Framework) namaandalizi ya kanuni za mfumo huo na kuipeleka kwawadau kwa ajili ya maoni na mapendekezo zaidi;(e) ilifanya tathmini ya kitalaamu katika vyuo 16. Kati ya vyuohivyo, vitatu (3) ni vipya ambavyo ni St. Joseph Universityin Tanzania, St. Augustine University of Tanzania – vituovya Bukoba na Songea na Stella Maris University College -Mtwara. Aidha, vyuo vingine ni St. John University - Dodoma,St. John University – kituo cha St. Marks Dar es Salaam,52 Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka 2012/13

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!