12.07.2015 Views

Hotuba ya Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi 2012 ... - HakiElimu

Hotuba ya Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi 2012 ... - HakiElimu

Hotuba ya Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi 2012 ... - HakiElimu

SHOW MORE
SHOW LESS
• No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

92. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2011/12, Wizara, kupitiaChuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa, ilitekeleza yafuatayo:(a) ilidahili wanafunzi 780, kati yao 184 ni wa fani ya Sayansi;(b) ilikamilisha upanuzi wa jengo la maktaba ya Chuolililokabidhiwa rasmi tarehe 28 Januari 2012. Aidha,kiliendelea na ujenzi wa ukumbi wa mihadhara, kilikarabativyumba vya madarasa pamoja na ofisi za wafanyakazi;na(c) iligharimia masomo ya wahadhiri 33 (21 ngazi ya Uzamilina 12 ngazi ya uzamivu).Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo93. Mheshimiwa Spika, Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo kinamajukumu ya kutoa mafunzo, kufanya utafiti na kutoa ushauri wakitaalamu katika nyanja za kilimo, mifugo.94. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2011/12 Wizara, kupitiaChuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo, ilitekeleza yafuatayo:(a) ilidahili jumla ya wanafunzi 7,228 (Shahada ya Kwanza6,828, Shahada za Uzamili na Uzamivu 400);(b) ilikamilisha ujenzi wa ukumbi wa mihadhara wenye uwezowa kuchukua wanafunzi 250 kwa wakati moja;(c) ilianzisha Shahada sita za uzamili na Stashahada moja;(d) ilijenga bwawa la uvunaji maji ya mvua kwa kukinga majikatika mteremko, kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji; na(e) iliendeleza miradi 130 ya utafiti kwa ushirikiano naWashirika wa Maendeleo kama ifuatavyo:Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka 2012/1361

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!