12.07.2015 Views

Hotuba ya Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi 2012 ... - HakiElimu

Hotuba ya Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi 2012 ... - HakiElimu

Hotuba ya Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi 2012 ... - HakiElimu

SHOW MORE
SHOW LESS
• No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

wa asili, malisho ya ng’ombe wa maziwa, ufugaji wasamaki mabwawani, ufugaji wa nyuki kwa njia zakisasa, kilimo cha umwagiliaji, kilimo bora cha nyanya,mihogo na bidhaa zake, ufugaji bora wa kuku wa asili,na uhifadhi wa mazingira kwa njia za asili. Vipindi hivihurushwa pia na Televisheni ya Chuo (SUATV); na(vii) matumizi bora ya udongo na maji katika kilimo,uzalishaji wa mbegu bora za maharage, mpunga, namazao mengine, na matumizi ya teknolojia za baiolojiakatika kuzalisha mbegu bora za ndizi na matundamengine.Chuo Kikuu Kishiriki cha Ushirika na Elimu ya Biashara chaMoshi95. Mheshimiwa Spika, Chuo Kikuu Kishiriki cha Ushirika na Elimuya Biashara ambacho ni sehemu ya Chuo Kikuu cha Sokoine chaKilimo kina majukumu ya kufundisha, kufanya utafiti na kutoaushauri wa kitaalamu katika nyanja za ushirika, maendeleoya jamii, biashara, oganaizesheni, ujasiriamali na masualamtambuka.96. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2011/12 Wizara, kupitiaChuo Kikuu Kishiriki cha Ushirika na Elimu ya Biashara Moshi,ilitekeleza yafuatayo:(a) iliongeza udahili kutoka wanafunzi 3,638 (wanawake1,482) mwaka 2010/11 hadi 4,211 mwaka 2011/12(wanawake ni 1,869). Aidha, ilianzisha programu mpyaMakadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka 2012/1363

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!