12.07.2015 Views

Hotuba ya Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi 2012 ... - HakiElimu

Hotuba ya Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi 2012 ... - HakiElimu

Hotuba ya Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi 2012 ... - HakiElimu

SHOW MORE
SHOW LESS
• No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

masuala mtambuka. Aidha, majarida na vifaambalimbali vya kujikinga (protective gear) vilinunuliwakatika kutekeleza sera za UKIMWI; na(v) ilijenga na kukarabati majengo ya Chuo kwa kuzingatiamahitaji ya watu wenye ulemavu.Chuo Kikuu Huria cha Tanzania97. Mheshimiwa Spika, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kinamajukumu ya kutoa Elimu ya Juu kwa njia ya Masafa na Ana kwaAna; kutafiti, kutoa ushauri wa kitaalamu na kueneza maarifakupitia vituo vyake vilivyopo mikoani.98. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2011/12, Wizara, kupitiaChuo Kikuu Huria cha Tanzania ilitekeleza yafuatayo:(a) iliongeza udahili wa wanafunzi wa Shahada ya Kwanzakutoka 2,358 mwaka 2010/11 hadi kufikia 3,749 mwaka2011/12 ambayo ni asilimia 94.6 ya lengo la wanafunzi3,961 kwa mwaka;(b) ilifanikisha udahili wa wanafunzi wa Shahada za Uzamilina Uzamivu hadi kufikia wanafunzi 2,079 ambayo niasilimia 81.9 ya lengo la wanafunzi 2,538 kwa mwaka;(c) ilijenga viwanja vya michezo katika eneo la makao makuuya chuo huko Bungo – Kibaha;(d) ilifanya utafiti katika maeneo yafuatayo:(i) usalama wa matumizi ya TEHAMA (ICT Security);(ii) matumizi ya Simu za Mikononi katika masomo;(iii) matumizi ya matingatinga katika kusafisha majitaka(Constructed Wetlands) pamoja na mabwawa ya66 Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka 2012/13

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!