10.07.2015 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

14even deny access to their lands if you an AIDs victim, leave alone giving you a job, they do not want you in their presence, sothey do not want you they do not want to employ you, but we are doing this so that we curb the situation, this is one measureto reduce AIDs cases.Two, this is another measure <strong>of</strong> cutting down expenses, this thing has to be there, so that I will be a afraid to be very immoral ifI am dreaming <strong>of</strong> being political, that will help this society very much, and cases where even affirmative and these equalopportunities, these are things for them, we are making our laws. We may copy them but the dress may not fit us, what fits isthis and this, this way no. thank you very muchCom.Nunow: Asante sana Rev. tafadhali tupokee memorandum na u-sign register pia ya kwamba umetoa maoni mbele yaTume. Tunashukuru na sasa ningependa kupeana hii fursa kwa wanafunzi na wa kwanza ni Fredrick Ekesa. Master Ekesautatupatia majina yako kamili, jina la shule yako, darasa yako na umri wako na harakisha uendelee kutupatia mapendekezoambayo umekuja kutupatia.Fredrick Ekesa: kwa majina naitwa Fredrick Ekesa natoka Udili Pr. School, niko katika darasa la tano, nina miaka kumi namiwili. Marekebisho ya Katiba, la kwanza haki ya mtoto: Elimu iwe sawa na ya bure kwa wasichana na wavulana. Mavazi:Akina baba waache ulevi ili wapatie watoto mavazi. Afya njema na matibabu, watoto wapewe matibu ya bure, wazaziwapeleke watoto hospitalini wanapokuwa wagonjwa.Kucheza,watoto wapewe nafasi ya kucheza. Upakazi: Watoto wasipewe kazi nzito kuliko umri wao, kwa mfano kupaliliamiwa, kusiaga sukari nguru na kupika chang’aa. Usalama wa watoto: Wazazi waajibike kabisa akina baba waache ulevi nakupiga domo washughulikie masilahi ya watoto. Talaka ipigwe marufuku wazazi wavumiliane kwa sababu wazazi wakiachana,watoto ndio huumia.Mtoto msichana: Katiba ishughulikie haki za mtoto msichana, watoto wasichana wasinyimwe nafasi ya kusoma kwa sababuya kuelimisha mvulana. Wasichana wasiwe wakiolewa mapema. Shukrani.Com.Nunow: Asante sana Fredrick Ekesa, umetupatia mapendekezo muhimu na kwa point kabisa, na twakushukuru kwasababu hii Katiba zaidi ya watu wengine wote ni watu kama wewe, kwa sababu fursa ya kurekebisha Katiba tena haitatokeampaka miaka 100 ama karibu na miaka hizo ama zaidi. Na kwa hivyo utakuwa umejiingiza kwa register kwamba umecontribute katika hii Constitution, na historia ikituonyesha kwamba wewe Fredrick Ekesa umeyazungumza mambo ambayoyatatengeneza maisha ya wale watakufuata na yako pia, twakushuku sana. Tafadhali ujiadikishe pale, na mwenzake alikuwaanataka kuzungmza? mwalimu okay. Christine Omondi, hao ni wanafunzi, wa Kisoko Girls Secondary school. Christineutatupatia pia majina yako, kamili, shule yake, darasa ako na umri wako if you do not mind.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!