10.07.2015 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

28Mavazi: Ningependelea ya kwamba, Kenya tuwe na vazi ambalo itatumbua. For example Uganda wana Gomez kwawanawake na kanzu kwa wanaume, Nigeria wana vitenge, lakini sisi wa Kenya hatuna vazi lolote ambalo itatutambua yakwamba sisi ni wa Kenya.Ninaenda kwa Gender: Katiba itoe kinga maalum kwa wanawake waja wa zito katika aina ya kazi ambazo zimethibitishwakuwa za mathara kama ufanyaji kwa maua, kufanya kwa chemical industries, na kuinua vitu vizito, vizito. NingependekezaKatiba iruhusu wanawake wengi wapate kazi ya utawala, wakiwa wana masomo ya kutosha.Bwana mwenyekiti niko kwa sasa watoto, ningependekeza watoto serikali ipeane, elimu itenge pesa za elimu, kulisha watoto,kuvalisha watoto, na kulinda watoto yatima kwa maboma yao wakati wazazi wanapo fariki kutokana na ugonjwa wa HIVAIDs. Mtu yeyote ambaye anapatikana akiwauzia watoto wa shule na vijana ambao wako chini ya miaka kumi na nanemadawa ya kulevya afungwe bila kutozwa faini.Ningependekeza mwanamume akinajizi mtoto, apelekwe kortini halafu afinywe. IkiwaInterjection Com.Ayonga: Ebu tumpe mama nafasi tafadhali, hayo ni maoni yake, hayo ni maoni yake tumpe heshima naayaseme.Zainabu: Bwana mwenyekiti nikiwa kwa afya ninapendekeza ya kwamba, matibabu iwe ya bure na karibu na wananchi kamamobile clinics, tuwe na magali katika kila health center ili wananchi wapate matibabu kwa urahisi, haswa ikiwa kama usiku, garihakuna pesa hakuna mwana Kenya anaumia. Katiba ilazimishe serikali iweke vifaa vya kutumia na madaktari ama wakungawanapotibu na kuhudumia wagonjwa kwa vituo vya afya. Ningependekeza ya kwamba maduka za kuuza madawa chemists,nyingi zifungwe kwa maana hazina wataalamu wa kuuza madawa. Tena hizo chemists zinaendeshwa na madaktari ambaowanaiba madawa kwa mahospitali.Kilimo: Nina pendekeza kwamba irrigation, ifanywe kado ya mito mikubwa na bahari ili watu waweze kupanda holticulturalcrops ambazo zitaendea mwaka rudi mwaka nenda hata tunaweza kupeleka hivyo vitu ng’ambo. Ningependekeza ya kwambamajina ya wakina mama yawe kwa kila contract ya miwa, majani, kahawa, ili wakina mama wajue matumizi ya hiyo pesa.Natural resources: Ningependekeza kwamba natural resources zote serikali ichukuwe jukumu la kulinda local authority,Administration na raia pia walinde hii misitu, mito, milima isiharibiwe na waporaji.Nikienda upande wa transport, pesa ya kodi itumike kulima, kujenga barabara kubwa na ndogo nchini kote bila kubaguasehemu zingine. Matatu ikipatikana imejaa driver na abiria ambao wamesimama wapelekwe kortini mara moja. Nauli zamagari za abiria, ziko juu sana na ningependekeza hizi nauli ziletwe chini, na ninasema ziko juu kwa ajili kuna ufisadi kwa

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!