10.07.2015 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

22Com.Nunow: Thank you very much Commissioner and thank you very much bwana Masibai, please let us have yourmemorandum and you can sign the register the risk is by enlarge-bwana Masibai the risk is by enlarge for those who have notwritten anything because the day goes by those who have memorandum can present, and they have it recorded and that beingas good as reading word for word they will have had their views presented. But those who came with their points in theirheads, will go back with them and that is the risk and that is what we do not want to see happening. So if you have amemorandum, infact if you do not say a single and simply present it is as good as you sitting here and reading from the top thetitle to the full stop at the very bottom. There is no difference, we are giving hyou an opportunity to highlight so that you maywant to empasize one or two issues you think they are not clear in the paper, but the content <strong>of</strong> the paper will entirely beinternalized by the Commission. Alfonse Wabwire, Alfonse will be followed by Josiah Wanga ajitayarishe.Alphonce Wabwire: Mimi naitwa Alphone Wabwire kutoka Nambale sub-location, Location ya Nambale. Yangu ni haya kituzaidi ambacho inanisumbua hapa ama zaidi wakazi wa Nambale, ni hii, zaidi ni ukabila huko katika location hii, hawatakiwengine wainuke ijapokuwa ni wazito peke yao. Ya pili, ni askari wetu ambao wanatulinda, wanatunyanyasa zaidi, hata ukiwana mgeni unaona mtu ameingia anasema mzee unafanya nini na unakaa na bibi yako na watoto wako kwa nyumba, hiyoinanishangaza.Ya tatu, ni elimu, wako wengine sisi ambao hatuwezi mtoto anaweza pata point za juu lakini unashindwa kuelimisha mtoto,hapo nalia serikali yetu ingalie hapo. Ninasema asanti.Intejection Com.Nunow: Unapendekeza nini Katiba iangalie,Alphonce: Kitu ningependekeza katika Katiba hii ni elimu ya bure ikuwe tu elimu iwe ya bure.Com.Nunow: Asante sana mzee, Josiah WangaJosiah Wanga: Mimi kwa majina naitwa Josiah Wanga. Nilizaliwa mwaka wa 1922 nina miaka 80 saa hii. Wakati tulipiganiauhuru watu, tuliahidi wananchi ya kwamba, elimu itakuwa ya bure, Matibabu kwa hospitali yatakuwa ya bure, watu maskiniwatapewa mashamba, sasa saa hii tunanona wa kubwa ambao wanalalia ma-<strong>of</strong>isi ndio wanagawa mashamba, watu badowanaitwa squatters. Na wanyama wa pori wanagawa mashamba, ninashangaa, kupatia wanyama wa pori mashamba nawananchi wanaitwa ma squatters. Kwa hivyo wananchi waliopigania nchi hii wamesukumwa nyuma kabisa, hawana sautikatika nchi hii. Wengine walikufa, wengine bado wangali wako, hakuna jawabu lolote ambao tumewafanyia hawa watu. Miminikiwa mmoja kati ya hawa watu hawa, kutokea mwaka 56 mpaka sasa, sina nafasi katika Kenya, sijui tutapata Kenya inginewapi.Com.Ayonga: Kwa hivyo unataka aje mzee?

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!