31 ST JULY 2002CONSTITUENCY PUBLIC HEARINGS – NAMBALE CONSTITUENCY HELD AT NAMBALE ACK HALLON 31 ST JULY 2002COMMISSIONER PRESENT1. Com.Pastor Zablon Ayonga2. Com.Dr.Abdirizak Nunow – chairing3. Com.Mutakha KanguSECRETARIAT STAFF PRESENT1. Samuel Wanjohi - Programme Officer2. Hellen Namisi - Assistant Programme Officer3. Grace Gitu - Verbatim Recorder4. Timothy Wesonga - District Co-ordinatorThe meeting started at 9.40 am. With a word <strong>of</strong> prayer.Timothy Wesonga: Nitamuita Bishop aweze kutupatia neno la Mungu ili tuweze kuanza mkutano wetu, bwana Bishop karibu:Bishop: Tusimame na tuombe Baba ask<strong>of</strong>u the Rt.Rev.Josiah Mahadi Awele wa Diocese ameniuliza mimi Provost John Jimbanifungue mkutano wa Commissioners na maombi. Bwana Yesu asifiwe. Tuseme sala ya bwana, baba yetu uliye mbinguni jinalako litukuzwe ufalme wako uje, mapenzi yako yatimizwe hapa duniani kama huko mbinguni, utupe leo riziki yetu, utasamehemakosa yetu kama nasi tunavyo wasamehe waliotukosea, usitutie majaribuni, lakini utuokoe na yule muovu, kwa kuwa ufalme niwako na nguvu na utukufu hata milele Amen. Mungu baba, mwana na roho mtakatifu, tunakushukuru Mungu wetu kwamapenzi yako na fadhili zako zilizo kuu hasa sana kwa ajili ya nchi yetu ya Kenya, tulipopata uhuru kutoka kwa mbeberu,2
3Mungu wetu umetuongoza na wakati huu umetufikisha, umbali huu hasa sana tukikumbuka mpendwa wako mtumishi wako,ambaye wewe mwenyewe umeteua kuongoza nchi hii, Raisi Daniel Toroitich Arap Moi, pamoja na Cabinet mzima, babatwakushukuru kwa uongozi ambao tuko nao katika nchi yetu, baba ni asante kwa ajili ya siku hii, ambayo mwenyeweumeitengeneza katika Nambale Constituency, mahali ambapo tunawakirishwa na mheshimiwa weti bwana Chris Okemo,ambaye ni Mbunge wa Nambale tena Mungu wetu ni asante kwa ajili ya wageni wetu Commissioners ambao wanatembea nchiyetu na leo wako hapa Nambale baba kusikiza maoni, ya watu wako kuhusu Katiba yetu ya nchi hii Kenya, twawawekamikononi mwako Mungu wetu vile wewe umekuwa nao, mkono wako ukiwaongoza katika kila jambo, wakifanya mpaka leowamefika hapa, baba uwaongoze tena na roho mtakatifu, uwape uvumilivu, uwape upendo, uwape amani kwa sababu kaziambayo umewapa ni kazi ngumu bila wewe hawawezi kufanya chochote, baba tunaamini kwamba, utawaonekania katika kilajambo. Twawaombea wale ambao watatoa maoni yao kwamba yawe maoni ambayo yataweza kujenga nchi yetu na kutuleteaneema ambayo tunahitaji kwako Mungu wetu, twawaombea wale ambao bado wako njiani, ambao hawajafika, ili babawalete pamoja nasi, na wale ambao wako hapa utuandae vilivyo, ili mkutano huu upate kuinua jina lako. Twaomba tukiaminikwamba utatenda, kwa njia ya Yesu Kristo bwana wetu Amen.Timothy Wesonga: Baada ya maombi ningependa kumkaribisha Chairman wa CCC ili aweze kutuonyesha team yake, na piaaweze kukaribisha wageni. Bwana chairman karibu.Chairman: Commissioners wetu watatu na secretariat desk, Bishop wetu wa dioceses ya Nambale, pamoja na Provostambaye analinda hapa, members wa CCC na watu wote wa Nambale, na msalamia kwa jina la Yesu Hamjambo!Audience: Hatujambo!Chairman: Nafikiri langu leo ni jambo moja tu, pengine ya pili itakuwa tu furaha. Ya kwanza, napenda kuwakaribishamaCommissioners, kwa kuwa nasi hapa leo kwa hii kazi nzuri ambaye Mungu amekubali tuifanye. Tulianza nao Jumatatukatika Constituency yetu hii ya Nambale, kule Rwanya, jana tulikuwa Busia na leo tuko hapa ambayo ni final day, sotuna-expect watu wengi kuwa hapa wale ambao hawaja-present pahali popote.Ya pili, ningependa kutoa apology kwa mheshimiwa wetu Chris Okemo, ambaye hatakuwa na sisi hapa shauri yeyeanaandamana na mzee na President wana-tour Western na mnajua mambo ya siasa lazima wafuatane akiwa yuko Westerninakuwa ngume kwa yeye kuwa na sisi hapa, kwa hivyo alisema nilete apology yake hapa, otherwise yuko na sisi kwa njia zote,hapa kwetu. La tatu mimi maybe ningeuliza tu wale ambao tunafanya nao kazi ya Constituency hii, kwa upande wa civiceducation na upande hasa wa Constituency hii committee msimame tu halafu watu wawaone. Hawa watatu ndio tunakuwanao, tuko committee ya watu kumi including the Minister, lakini wengine hawako hapa, asante sana mukae chini. La nne na lamwisho, ningeomba ma- Commissioners, wa-feel wako uhuru wako free, waongee na sisi, watu wa Nambale wako free, wanaongea bila wasi wasi, so tutaongea na nyinyi na ninafikiri tutapeana yale mawaidha au yale maneno ambayo tunatakikanatupeane bila wasi wasi wowote. Tumejaribu kuwaonyesha namna ya kufanya na watafanya, halafu tungependa hata kesho
- Page 1: CONSTITUTION OF KENYA REVIEW COMMIS
- Page 5 and 6: 5wanakaribisha wageni vizuri sana,
- Page 7 and 8: 7wanataka kuzungumzia hayo maandish
- Page 9 and 10: 9Legislature. A patient should have
- Page 11 and 12: 11the death sentence should be outl
- Page 13 and 14: 13and another person has no plot to
- Page 15 and 16: 15Christine Omondi: My names are Ch
- Page 17 and 18: 17police force the GSU which is of
- Page 19 and 20: 19Godfrey: My understanding is that
- Page 21 and 22: 21to one foot from the water along
- Page 23 and 24: 23Josiah: Nataka watu maskini wapew
- Page 25 and 26: 25The Attorney General, the speaker
- Page 27 and 28: 27wananchi, kwa hivyo mwenyekiti mi
- Page 29 and 30: 29road blocks sasa hawa watu wa mat
- Page 31 and 32: 31nilijifunza agriculture British R
- Page 33 and 34: 33Primary schools, na saa hii hulip
- Page 35 and 36: 35Com.Nunow: Asante sana bwana Makh
- Page 37 and 38: 37Andrew: Efe badidi ba inyuma enoT
- Page 39 and 40: 39Andrew: mbara nibiakhuba mbu omun
- Page 41 and 42: 41kurudi kwa kazi. Mtu anayetaka ka
- Page 43 and 44: 43Secondly is the early marriages t
- Page 45 and 46: 45secretary akikufa au Minister ame
- Page 47 and 48: 47kwa korti. Watu wanasukuma na mpa
- Page 49 and 50: 49not unduly interfere with the oth
- Page 51 and 52: 51waislamu na wasio waislamu au wai
- Page 53 and 54:
53huku wanapata mishahara minono, n
- Page 55 and 56:
55know exactly what they stand for,
- Page 57 and 58:
574. Too many road blocks which do
- Page 59 and 60:
59zikichukua miaka mingi, watu weng
- Page 61 and 62:
61Point number three, is on somebod
- Page 63 and 64:
63Cornelia: Hilo linakuwa na mimi n
- Page 65 and 66:
65and he will also be part of the E
- Page 67 and 68:
67covered, but I would like highlig
- Page 69 and 70:
692 Electoral Commissioners, those
- Page 71 and 72:
71one has failed us terribly.The Ex
- Page 73 and 74:
73President being above the law. He
- Page 75 and 76:
75Jonathan: Eliakhubiri omundu akho
- Page 77 and 78:
77huko nyuma mimi ndie nina-deal na
- Page 79 and 80:
79official one Identity card that c
- Page 81 and 82:
81Jambo lingine la kumalizia nasema
- Page 83 and 84:
83serikali vile unafanya hivi, mtot
- Page 85 and 86:
85tafadhali wanasiasa, au viongozi
- Page 87 and 88:
87nitasema tu neno moja ya assistan