10.07.2015 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

26wewe kuelewa hiyo makosa imetoka wapi. Mwisho bwana mwenyekiti unapata hata unafungwa Jela pasipo wewe kuelewakwamba hili kosa limetoka wapi. Kwa mfano bwana mwenyekiti mimi mwenyewe, mwak wa 91, niliweza kufungwa nikuwaBungoma nikapigwa zaidi nikaumizwa pasipo kuelewa kosa kwa sababu nilibandikwa kosa mimi navuta bangi, na mimi katikamaisha yangu mimi zijavuta bangi, hata leo kwa hivyo nikaona bwana mwenyekiti sheria irekebishe mamlaka ambao policewako nayo katika raia, ningeomba sana iwapo Katiba itapitisha police wawe na uhakika wa kuweza kushika mwananchi kwasababu leo nikiongea nikiraramika pengine mwingine hajashikwa kesho mwingine atashikwa.Pili mwenyekiti, mimi maoni yangu ningeomba sana ikiwa mnataka rushwa Kenya iishe, ningeomba haya mwenyekiti, kwasababu mimi nimezaliwa huku, nimetembea Kenya hii nimeona kitukinaitwa chang’aa ihalalishwe na wapeane licence kwasababu hiyo licence wakipeana kwa mtu ambaye anatengeneza chang’aa police hatakuwa na nafasi ya kuenda kushika huyomtu, na hawa wamama ambao wanahangaishwa na pombe hizo watakuwa na nafasi ya kuweza kuuza hiyo pombe kwa sababuserikali itakuwa imepokea ushuru wake, na huyu mtu atakuwa anaendesha hiyo biashara kama biashara zingine ukiangaliapombe kama ya Kenya Brewery hao walipewa licence, na wanaendesha, kwa hivyo mimi maoni yangu ni kuona kwambamtilie maanani chang’aa iwekwe licence sababu rushwa hawawazi tena kupata, sababu police watazidi kuhangaisha watu zaidikuhusu chang’aa na wanapokea hongo nyingi sana na hata mahakama nyingi sana iko kwa police mahakama badia bwanamwenyekiti.Pengine nikienda mbio kwa sababu ya wakati, katika uhuru wa kuweza kuabudu, bwana mwenyekiti mimi ningeomba kamam<strong>kenya</strong> kama mwafrika iwe kama sheria sababu hata tukisoma bibilia ama Koran, Mungu ana ruhusu mwanamume kuoamwanamke isiwe mwenyekiti tafadhali kama sheria baadaye katika Kenya yetu hii ambayo tunataka uhuru tusije tukakuwa nanafasi ama mtu mwanamume kuoa mwingine, hiyo ni makosa sana hata kwa Mungu kwa sababu hata bibilia ama koranainasema ulawiti ni dhabi halafu mwanamke asikuwe na nafasi yake ama kuoa mwingine. Bwana mwenyekiti nikienda mbio mimininaomba sana unapata katika shida ya mashamba ambao wenzangu wametaja hapa mwenyekiti, mimi ninaweza kuwaninashamba langu la acre 10, na unaweza kupata tajiri anakuja ananinyang’anya hiyo shamba ambayo ni ya babu yangu, pasipomimi kuelewa sababu mimi sina pesa bwana mwenyekiti, huyu mtu atatumia unjanja fulani kuenda mahakamani, ama kuendakatika lands na anatumia makaratasi na anapata title deed mnapata hata mimi pengine baba aliweza kunipatia title deed. Lakiniutapata kuona kuwa huyu mwenyekiti mtu anakuja na pesa na ana nguvu, anaenda police unashtuka tu wanakufukuza kwashamba ambayo ni ya babu yako kwa kweli, hiyo kitu ina tuudhi tena ndio inaongeza vita katika Kenya hii ambayo tunaishisasa. Bwana mwenyekiti mimi maoni yangu muangalie hilo neno kwamba Katiba ipitishe mahakama ama lands isikuwe nauwezo wa kuweza kupeana title deed kwa shamba bila mwenyewe, tafadhali mwenyekiti muangalie kwa Kenya yetu ambavyovinakunja kwa vizazi ambazo zinakunja.Lingine bwana mwenyekiti ningeomba sana kama hawa <strong>of</strong>ficer wetu wa nyumbani wa utawala kama chief na assistant chief.Ningeomba sana kama nyinyi kama ma-Commissioner ambao mnachukua maoni yetu, kwa Kenya ambayo inakuja ningeombasana chief akuweko peke yake. Halafu assistant chief aondolowe kwa sababu huyo mtu ndio anaongeza fitina kati ya

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!