10.07.2015 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
• No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

6ni wa-introduce wale ambao wametoka those representing the Diocese of Nambale, kuna working committee that was set up,ya kupata maoni from pia tulikuwa na Commissioners tungewaita Commissioners wetu lakini they are on a small scale. I wouldlike to ask the Commissioners from Nambale Diocese wakuje mbele nifanye introduction those present. Hawa they have apaper to present on the behalf of the Christians of the Diocese and the few that are here are the members of the workingcommittee tulikuwa ni wengi lakini hawa ndio wamekuja, tu represent the Dioceses. Kuanzia katikati huyo ndio Chairman ofPeace and Justice committee in the Diocese anaitwa Mr. Jackson Nakitale, huyo ni John Ajiba, the Provost of the Cathederaland a member of the working committee of the document that will be presented, na Rev.Wilson Ndindi is the Secretary to thisworking committee ambayo imetoa a document that will be presented to you. Nataka tu kumaliza nikisema karibuni sana, nawazee ambaoAbaluwo mulipara mbu nobola libi balandika nebecha okhukwakho sa ewe bola saa speak your mind bola liparoliawo ngolola sikhulirisiana obola saa ngo para ata nobola libi liosi banyala khukasia neliba lilayi taa khandi niliobenyere baulire kho alapara mbu ni mbola libi Commissioners bano batsa okhwingakho maana bambire museli taweewe bola sia eliawo elia oparangakho linyala okhukhonya nomba linyala khukhola lirie so thank you so much theCommissioners and I would Thank you so much the Commissioners and I would like to say you are most welcome.Com.Kangu: Na kama hatujaanza, kuna mambo kadhaa ninataka niguzie ya kuelezea utaratibu tunaofuata, tukichukua maoni.Jambo la kwanza ni kuwajulisha vile nilisema mwanzo, mpango huu ama mkutano wa leo, si mkutano wa sisima-Commissioners, kuzungumzia nyinyi ni mkutano wenu, wa kuzungumzia sisi na kueleza mambo vile mngependelea lingie kwaKatiba. Ni mkutano unaofuatana na utaratibu wa Kenya, walisema wanataka wakati huu Katiba imetengenezwa na watuwenyewe, wenyewe watoe maoni na kusema vile inakuwa. Kwa hivyo ni mkutano wa kujumlisha watu wote tutaka kuchukuamaoni kwa wazee, kwa wa mama, kwa vijana, kwa walemavu, kwa watoto wadogo, kila mtu iwe ni tajiri, ni maskini, nimkubwa ni mdogo, tunataka kila mtu awe uhuru kutoa maoni yake. Na vile Bishop amesema, mkutano huu leo si mkutano waBishop ama mkutano, wa DO ama wa Chief, huu ni mkutano wa Tume ya kurekebisha Katiba na kulingana na sheria sisitunaruhusiwa, mkutano kila mtu awe na uhuru wa kuzungumza mambo yake yote bila kuogoba, kuogopa ati atachukuliwahatua. Kwa hivyo ikiwa unaona pengine chief ako hapa, pengine DO yuko hapa, usiogope kuzungumza yale uko nayo, waKenya walisema kuna shinda, tunataka tuchunguze tujue makosa yako wapi ndio tuweze kurekebisha vile tunaendesha mamboyetu, na kwa hivyo usiwe na uoga, hata kama unataka kusema hatutaki Provincial Administration, usiangalie uone kwa sababuchief yuko usiseme hivyo, uko huru kusema, chief naye ako uhuru kusema yale anataka hata chief asiogope pengine DOataulizwa kwa nini ulisema hivyo, kila mtu ako na uhuru.Jambo la pili, ni kwamba maoni tunachukua kupitia njia tatu, namna ya kwanza, ni maoni yenye yameandikwa, uko namaandishi inaitwa written memorandum, na pengine hata hutaki kuzungumzia lingine lolote la kuongezea ama kuelezea maandishiyako. Ikiwa uko na maoni ya aina hiyo unaweza toka pole pole uende pale wako na register, utaadikisha jina lako na upeanehapo hayo maoni uweke sahihi, hiyo memorandum yako. Na ikiwa unataka kuenda mahali unatoka pole, unaenda, ikiwaunataka kukaa kusikiza wengine unakaa, na kusikiza. Namna ya pili ni kwamba, kuna wale wako na maoni ya maandishi, lakini

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!