10.07.2015 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

4muwe na sisi hapa, lakini bahati mbaya programme yenu ni mbaya iko haraka haraka, so wakati mtakuwa mnakuja penginewakati wa kusoma ile 60 days, may be mtakuja tuwe pamoja halafu ndio tuelewane vizuri, kwa hayo machache ningeombaChairman wetu wa leo, wajulishe ma-ommissioners wale wako hapa, na vile, vile, a lay out the programme vile tutaendelea nakazi, asante sana.Com.Pastor Zablon Ayonga: Bushere muno abaluyia bosi. Unajua hiki kidude changu kimeharibika kwa maana kimeendasafari ndefu huko Busia. Tuliacha nyinyi hapa barabarani au kwa kichaka mlipotoka safari unajua migration ni safari ndefu watuwengine wanafika na pengine mkaona udongo hapa mkachagua mkaona la, Sisi safari ya kuenda mbele hatuendi lakini tuliendahuko, hatuja wasahau, tunajua kwamba hapa Western ni watu wetu wako, kwa hivyo nikifika hapa ninajisikia niko home, nikonyumbani na kwa hivyo wale ambao tumefika nao tuko ma-Commissioner watatu ambao nitawapatia nafasi nyumae wawasalimu na pia kutoka <strong>of</strong>isini, tuna secretariat watu ambao watafanya kazi hii ya maneno, mnaona huyu msichana amesimama anahiki kidude, yaani hakuna kitu kitasemwa hapa ambacho hakitaingia hapa, everything is being recorded na maneno yale yenumtasema yatakuwa recorded moja wa hawa atakuwa analida hiki, mwingine atakuwa anaandika, mwingine anatunzaprogramme hii yote kuona kwamba everything went a head in order, ili mwishowe, yeyote asije akatoka hapa bila yakusikizwa vizuri, ni rahisi kwa kuandika mtu kukosea kuruka maneno mawili, matatu, lakini when you are recording hata mtuatakohoa, kikohozi chako kitaingia, kwa hiyo nataka mjue kwamba exercise hii ambayo tutafanya ni a very serious exercise nakwa hivyo hakuna h<strong>of</strong>u kwa yeyote ambaye atatoa maoni yake, kwamba yamechukuliwa. Wakati mwingine mtaona hatuadiki,na ikiwa utaona mtu haandiki usije ukafikiri sasa mimi yangu niliokuwa nasema mbona naona yule Commissioner haandiki?Maneno yako yanaenda kwa hiki kidude, very very important kwa hivyo yatanaswa. Na mimi ninaitwa Pastor Zablon Ayongani mmoja wapo wa ma Commissioner, na hapa katikati, ni Commissioner Dr. Abdurazak Nunow, na kule mwisho kabisa yeyeni mtoto wa hapa, mtoto wenu, mtoto wetu ambaye ni Mutakha Kangu, yeye atakuja kuwasalimia nyinyi na lugha ya nyumbani,na wale staff wa <strong>of</strong>fice inua mkono secretariat, kule ndiko waliko, na kule ndiko tuna lifaa hili la kuweka memorandum ebulibebe juu wajue mambo hayapotei, tunapokwenda kila Constituency, inatoka na file yao, kwa hiyo yenu ndio hiyo by the end<strong>of</strong> the day, it will be full, na ikijaa tutaweka ingine. Sasa kabla hatujaanza nitamuuliza daktari Nunow awasalimie, na salamuambazo zimetoka North Eastern, yeye ndiye ameleta salamu kutoka mbali kabisa, zimebebwa na aina ya vyombo vyotevinavyo beba salamu na ndipo huyu mtoto wa undongo hapa, yeye atuja salimia nyinyi na lugha nyumbani, ile ya ubusiere yoteitakuweko, na ublahi wote utakuweko, na basi hayo maneno yataendelea na siku ya leo, ni Dr.Nuno ndiye atakuwa mwenyekitiwa kikao hiki, lakini kwanza wacha awasalimie.Com.Nunow: Asante sana Pastor Salaam Aliekum!Audience: Aleikum salaamCom.Nunow: Asanteni sana, sana, nawashukuru nyote na ninafuraha kuwa nanyi, tulikuwa hapa tangu jumatatu, na tuliwapatakama watu ambao wamejitolea, ambao wako tayari kutoa maoni yao na watu ambao wanaheshima zaidi, watu ambao

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!