10.07.2015 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

50Com.Nunow: Thank you very much bwana Ladoli, there is no question for you, please you may sign the register. AbsolomAlutia.Absolom Alutia: Hamjambo, kwa majina naitwa Absolom Alutia nikiwa na maoni mara mbili. Kwanza nawakilisha jamii yakislamu kama mwenyekiti wa jamii ya kislamu katika Nambale. Pili nina maoni yangu ya kibinafsi.Ninaanza na maoni ya jamii kislamu. Kwanza jamii ya kislamu inapendekeza kwamba utangulizi wa Katiba, Katiba ipeweutangulizi kwa kumtambua Mungu. Kama kwa mfano “kwa ajili ya Mwenyezi Mungu na raia wa Kenya, ili iende sambambana wimbo wa taifa.Pili,wanasema idadi ya madhehebu nchini, kwa ufupi wanasema madhehebu yatakayosajiliwa ya kidini yasizidi 25, na kufafanuazaidi watasoma katika yale makaratasi.Tatu wanazungumzia demokrasia nchini, wanasema Katiba sharti ituhakikishie neno demokrasia kwa kulifungamanisha na sautiya walio wengi, ambao ni waumini, au watu wa dini, ili waakilishwe kwa kila gazi ya serikali bila kujali kwamba dhehebumaarufu au dhaifu.Jambo la nne, wanazungumzia haki ya binadamu nchini. wanasema kwamba kuundwe <strong>of</strong>isi kuu kikatiba ili ishughulikie haki zabinadamu, kama vile wanyonge, walemavu, haki za watoto, mizozo ya kidini, na kikabila watoto wanao randa randabarabarani, makundi ya walio wachache na watu wasiojua kusoma na kuandika miongoni mwa miongoni mwa mengine yakijamii. Na isimamiwe na dini zote zitakazo sajiliwa kikatiba na ifadhiliwe na serikali, <strong>of</strong>isi hiyo.Tano, wanasema kuhusu mavazi. Wanasema tuwe na vazi rasmi la nchi linalo ambatana na maadili na desturi za wa Kenya ilikuhifadhi maadili na desturi za wa Kenya na pili mwanamume asivae vazi la kike naye mke asiluhusiwe kikatiba kuvaa vazi lamume ili kuheshimu amri ya mwenyezi Mungu katika bibilia na Korani.Sita, wanazungumzia kuhusu, adhabu ya dhuluma nchini. Katiba ni sharti ituhakikishie kwamba mtu yeyote asidhulumiwe aukuadhibiwa kwa kosa la mwingine kama inavyo fanyika saa hizi, mtu anadhimbiwa kabla ya kuhukumiwa. Kwa maelezo zaidiyamo dani watayasoma kwa ajili ya mda.Kuhusu miradi ya umma nyanjani: Katiba ishurutishe serikali kuanzisha banki zisizo tosha riba ili kuwezesha makanisa na misikitikupata fedha na kuanzisha miradi ya maendeleo nyanjani ambapo ndio shina la umaskini.Nane, wanazungumzia kuhusu sauti ya waislamu nchini. Kusema kwamba tuwe na <strong>of</strong>isi kuu kikatiba na isimamiwe na msomiwa kislamu tutakae mchagua kwa kura kama msemi wa kiislamu au kwa lugha nyingine mufti ili aepushe mizozo baina ya

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!