05.02.2015 Views

Kuwekeza katika lugha za Kiafrika na elimu kwa lugha nyingi ni ...

Kuwekeza katika lugha za Kiafrika na elimu kwa lugha nyingi ni ...

Kuwekeza katika lugha za Kiafrika na elimu kwa lugha nyingi ni ...

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Serikali inajenga

mazingira ya lugha

nyingi, Mali

Kihispania, na Kireno) ndizo njia pekee ya kuleta maendeleo ya kiuchumi. Kuna sababu

za kiuadilifu, kihistoria, kisiasa, kisaikolojia na kijamii, na zile za kimkakati zinazoeleza

kuwepo kwa hali hii katika nchi za Kiafrika, ikiwa ni pamoja na nchi hizi kutawaliwa

na wakoloni na changamoto ya utandawazi iliyopo leo hii. Kuna mambo mengi ya

kukanganya ambayo ni vigumu kuepukika, hasa pale yanapotumiwa kama kisingizio cha

kuficha dhamiri za kisiasa za dola moja kutawala dola nyingine.

Matokeo ya tafiti mpya yanazidi kuonyesha matokeo hasi ya sera hizi: zinasababisha

elimu duni na kutwezwa kwa bara la Afrika, hali inayosababisha »kuingia polepole kwa

usahaulifu katika fikra za pamoja» (Prah, 2003). Mafanikio na mafunzo yaliyopatikana

kutokana na hatua ndogo zilizochukuliwa na pia tafiti kubwa zilizofanywa kote barani

humu na kwingineko yametoa ushahidi maridhawa unaohoji taratibu zilizopo na

kupendekeza haja ya kutumia njia mpya za matumizi ya lugha katika elimu 1 .

Kutwezwa kwa Afrika kunazidishwa na hali ya bara hili kukaribia kabisa kujitenga

na mchakato wa kubuni na kuzalisha maarifa duniani kote. Afrika hutumia, wakati

mwingine pasipo kuhakiki, taarifa na maarifa yaliyozalishwa kwingineko kwa kutumia

lugha zisizojulikana kwa watu wake walio wengi. Uduni wa sekta ya uchapishaji barani

Afrika ni mfano mmoja tu. Asilimia tisini na tano ya vitabu vyote vinavyochapishwa

barani Afrika ni vitabu vya kiada na si vya habari za kubuni au vya ushairi vyenye

kukuza uwezo wa kufikiri na wa kubuni wa wasomaji. Licha ya kuwa na utajiri mkubwa

wa tamaduni, Afrika ndiyo yenye idadi ndogo zaidi ya machapisho ya kitaaluma,

kama inayodhihirishwa na International Social Science Citation Index (Kielezo Mtajo

cha kimataifa cha Sayansi za Jamii), ambacho hujumuisha majarida ya kitaalamu ya

kisayansi na kiufundi yanayoongoza duniani katika nyanja zaidi ya 100 za kitaaluma.

Asilimia moja tu ya mitajo katika kielezo hiki ndiyo hutoka barani Afrika. Uzalishaji wa

maarifa unaofanywa na wasomi Waafrika na kutumiwa na umma hufanyika nje ya

Afrika. UNESCO Science Report ya mwaka 2005 ilionyesha kwamba Afrika huchangia

asilimia 0.4 tu ya gharama za jumla za utafiti na maendeleo kimataifa, na katika kiasi

hicho, Afrika Kusini huchangia asilimia 90.

Hati ya lugha za

Kibete hujumuisha

pichataarifa za

kifonetiki zaidi ya

400. Pichataarifa

zilizotumiwa hapa

zilichorwa na msanii

Frédéric Bruly

Bouabré kutoka

Kodivaa

(Mafundikwa, 2007)

5

Hata hivyo, ikumbukwe kwamba kuna tabaka adhimu la Waafrika walio weledi wa

hali ya juu ambao wameweza »kuzitawala« kwa umahiri mkubwa lugha za wakoloni

na kuzifahamu na huchangia kwa ustadi na kwa ubunifu katika kuendeleza maarifa

mapya, wakati mwingine wakiunganisha hali halisi ya Afrika au wakiusoma ulimwengu

kwa mitazamo ya Kiafrika. Hata hivyo, Mwamko wa Kiafrika unatoa wito kwa watu

kuelewa kwa undani zaidi na kutegemea zaidi maarifa, maadili, na hekima za Kiafrika,

na kuusoma ulimwengu kwa jicho jipya na kushiriki katika kupeana maarifa na kutumia

tekinolojia mbalimbali kufungua njia na namna mpya za kuishi.

1 Orodha ya tafiti na

taasisi za aina hiyo

zimetajwa katika

Kiambatisho 3 na

Kiambatisho 4.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!