10.07.2015 Views

ONYO LA MWISHO KWA DUNIA - infonom

ONYO LA MWISHO KWA DUNIA - infonom

ONYO LA MWISHO KWA DUNIA - infonom

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

“Ukuta wa utengo kati yakanisa na serikali ni mfanoambao umejengwa katikahistoria mbaya, mfano ambaoumeonekana kuwa bure kamauongozi wa uamuzi.” Jaji mkuuWilliam Rehnguist, Jarida laNyakati, Desemba 9, 1991.Kiongozi wa hivi karibuniwa mahakama kuu ya merikanialitangaza kuwa wakati haki zakidini zinapogongana namahitaji ya serikali katika katibumoja, mahakama itakuwaupande wa serikali.” LosAngeles Times, Janda la Nyakati,Aprili 18, 1990.ulaya katika mwaka wa 1850aliongea kuhusu marekani kuwakama serikali ya ajabu ambayo“imetoka” na “kati” ya kimya cha duniaikiongeza nguvu zake na uwezowake kila siku. The Dublin Nation.Hizi “pembe mbili” kamamwanakondoo zinaakilisha tabiahalisi ya taifa letu (marekani) jinsiinavyoonyesha katika misingi yakemiwili-serikali na Dini misingi hii miwilindio siri ya nguvu zetu na kukuakama taifa. Wale wa kwanza kupatamaficho katika pwani za marekani,walifurahia ya kwamba walikuwawamefikia taifa lilo huru kutokana nakiburi ambacho upapa ulikuwa ukidaina umabavu wa utawala wake wakifalme. Walikusudia kuunda serikaliilio chini ya msingi pana wa serikalina uhuru wa dini.Ananena Kama Joka<strong>LA</strong>KINI huyu mnyama aliye napembe kama mwana kodoo “akaongea kama Joka” naye atumiauwezo wote wa mnyama yule wakwanza mbele yake, naye aifanyadunia na wote wakaao ndani yake,wamsujudie mnyama wa kwanza,ambaye jeraha lake la mauti lilipona.Akiwaambia wakao juu ya nchi,kumfanyia sanamu yule mnyamaaliye na jeraha la upanga nayeakaishi Ufunuo 13:11-14.Yule mnyama mwenye pembekama ya mwana kondoo na sauti yajoka ni mfano unaolenga tofauti halisikati ya madai na matendo ya taifalinaloakilishwa. “kuongea” kwa taifani kitendo cha wanasheria na haki zautawala. Kwa tendo kama hilolitaonyesha uongo kwa misingi yauhuru na amani ambavyovimewekwa kama msingi wa utawalawake. Utabiri kuwa atanena, “kamajoka na kutumia uwezo wa yulemnyama wa kwanza, hudhihirishawazi kukua kwa roho wa mateso naasiyefumilia ambayo ilionyeshwa namataifa yanayoakilishwa na joka namnyama mfano wa chui. Na kwahabari ya kwamba yule mnyamamwenye pembe mbili “ awafanyadunia na wakaao ndani yakekusujudu mnyama wa kwanza?Huonyesha kuwa uwezo wa taifa hilini kulazimisha wengine kwa kuabuduambalo ni tendo la kuutukuza upapa.Tendo kama hili ni kinyume kabisana misingi ya serikali hii kwauelekevu wa vituo vyake huru na nikinyume katika kuapa kwa kutangazauhuru wake katika muungano.Wanzilishi wa taifa hili walitafutakwa hekima sana kulinda utumishi wanguvu za kiserikali dhidi ya kanisa,na matokeo yake yasiyo epukamateso na kutovumilia serikalihusema ya kwamba, “Bunge kuu lamarekani haitafanya sheria yo yotekwa kupendelea kuw-eko kwa diniama kuweka vikwazo juu ya kulipakodi,” Na ya kwamba hakuna jaribula kidini litakalohitajika kama kuhitimukatika ofisi yo yote ya raia walio chiniya muungano wa mataifa.” Ila tu kwauvunjaji wa sheria kwa taifa huru,Ndipo ibada ya dini yo yote yawezakulazimishwa na mamlaka yakiserikali. Lakini mageuzi ya matendohaya siyo makubwa tena kulikoinavyoonyeshwa kwa mif-ano. Ni yulealiye na pembe kama ya mwanakondoo anayedai kuwa msafi mtulivuna asiyedhuru. Ndiye anayenenakama joka.Sanamu ya MnyanaAKIWAAMBIA wakaao juu ya nchikumfanyia sanamu yulemnyama,” Hapa imeonyeshwa wazimfano wa serikali ambayo kwayonguvu za kisheria zinadumishwa nawatu, ni ushahindi wa ajabu yakwamba marekani ni taifa linalotajwakatika unabii.Lakini ni nini, “Sanamu yamnyama” na itafanywaje? Sanamu10inayoitwa alama ya mnyama mwenyepembe mbili. Na pia ndio inayoitwaalama ya mnyama. Kwa hivyokujifunza jinzi sanamu ilivyo na jinziitakavyo fanyishwa ni laziwa tujifunzetabia zoteza mnyama mwenyeweyaani Upapa.Muungano wa kanisa naserikali.WAKATI kaniza lile la kwanzalilichafuka kwa kujitenga kwaukweli wa injili, na kukubali kanuni zakishenzi na desturi zao, likapotezaroho na nguvu za Mungu; na kwakuyatawala mawazo ya watu,likatafuta msaada wa nguvu zakiserikali. Matokeo yake yalikuwa niupapa, kanisa liliotawala nguvu zaserikali na likaitumia kwa kutimizamalengo yake, hasa kwa kuadhibu“uzushi”. Ili marekani ipatekufanyisha sanamu ya mnyama,uwezo wa kidini, ni mpaka pia itawaleserikali ili mamlaka ya nchi yapatekutumiwa na kanisa kwa kutekelezamalengo yake.Ilikuwa ni uasi ulioliongoza lilekanisa la kwanza kutafuta msaadawa serikali, na hili jambo likaandaanjia kwa kukuwa kwa upapa - yulemnyama. Kwa hivyo uasi ndani yakanisa utaandaa njia ya sanamu yamnyama.Historia Kujirudia TenaBIBILIA inasema kwamba kabla yakuja kwa Bwana, kutakuwa nahali ya kupotoka kwa dini sawa tu uleuliotokea katika karne za kwanza.“Siku za mwisho kutakuwako nyakatiza hatari. Maana watu watakuwawenye kujipenda wenyewe, wenyekupenda fedha, wenye kujisifu,wenye kiburi, wenye kutukana,wasiotii wazazi wao, wasio nashukurani, wasio safi, wasiowapenda wakwao, wasiotakakufanya suluhu, wasingiziaji,wasiojizuia, wakali, wasio pendamema, wasaliti, wakaidi, wenyekujivuna, wapenda anasa kulikokumpenda Mungu; wenye mfano wautauwa, lakini wakikana nguvu zake.”2 Timotheo 3:1-5. “Basi roho anenawaziwazi ya kwamba, nyakati zamwisho wengine watajitenga naimani, wakisikiliza rohozidanganyazo, na mafundisho yamashetani.” 1 Timotheo 4:1. Wakatihali hii ya uovu itakapofikia, matokeosawa yatafuata kama yale ya karneza kwanza.Kufanyishwa kwa sanamu.WAKATI makanisa makubwa yamarekani, yatakapo unganapamoja kwa mambo ya mafudishojinsi wanavyoyashikilia wao pamoja,wataisukumia nchi kulazimishamaamuzi yao na kusimamishadesturi zao, ndiposa Amerika yakiprotestanti itakuwa imefanyishasanamu ya utawala wa kirumi, namateso ya serikali kwa wale wotewasiokubaliana bila shaka itakuwa nimatokeo yake.❏

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!