10.07.2015 Views

ONYO LA MWISHO KWA DUNIA - infonom

ONYO LA MWISHO KWA DUNIA - infonom

ONYO LA MWISHO KWA DUNIA - infonom

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

wake, Basi watakuwa wamekubaliishara ya mapatano kwa Rumi - “Alama ya mnyama”.Na sio mpaka tuwakati jambo hili litakapowekwa wazimbele ya watu, na kuletwa kuchaguajuu ya sheria za mungu na maagizoya wanadamu, ili ya kwamba walewanaoendelea kwa uasiwanaoendelea kwa uasi watapokea“alama ya mnyama.”Tisho la KuogofishaTISHO LILE la kuogofya sanaambalo halijawahi kutan-gazwakwa binadamu ni ile lipatikanalo katikaujumbe wa malaika wa tatu. Hiyoitakuwa ni dhambi ya kutishaKUPITIA <strong>KWA</strong> roho zamizimu, shetani ataonekanakuwa kama mfadhili wakizazi, akiponya magonjwa ya watu nakujifanya kana kwamba analete halimpya na ya juu ya imani ya kidini,lakini kwa wakati huo akifanya kazi“Ilichukuwa upapa namashirika yake yote, kanisakatoliki la kirumi, karibu miakayote ya 2000 kuufikia utimilivuna hali yake ya kisiasa.... Nalengo la kisiasa na ujenzi?ndiyo, na lengo la kisiasa naujenzi. Kwa maana utafiti wamwisho, yohana Paulo wa IIkama vile anavyodai kuwamwakilishi wa kristo amedaikuwa yeye ni hakimu mkuukatika jamii ya kimataifa.” Keysof This Blood, M. Martin, pages374- 375.inayoleta ghadhabu ya Mungu isiochanganywana rehema yake. Watuhawajaachwa gizani kuhusiana najambo hili, onyo juu ya dhambi hiiitatolewa kwa ulimwengu wote kablaya hukumu za mungu kuanguka, iliwote wajue ni kwa nini watateswa, nawana nafasi ya kuepukana nayo.Imedhi hirishwa wazi katika unabiikwa kutangazwa kwa sauti kuu, na“Utunzaji wa jumapili kwawaprotestanti ni heshimawanaotoa kwa kupenda kwaowen-yewe, kwa mamlaka ya(kanisa) katoliki.” Mosignor Segur,Plain Talk About the Protestantismof Today, page 213.malaika anayepita katikati ya mbingu;na onyo hili litaamusha mawazo yaulimwengu.Kukua Makundi MawiliKATIKA matokeo ya vita ukristowote utagawanyika katikamakundi mawili-wale watunzao sheriaza Mungu na imani ya Yesu na walewamsujudio mnyama na sanamu yakena kupokea chapa yake. Hata ingawakanisa na serikali wataunganishakama mwangamizi. Majaribu yakeyawaongoza wengi kwa udanganyifu.Kutokuwa na kiasi hupumbaza akili,tamaa ya mwili, vita na umwagikaji wadamu ni matokeo yake. Shetanihufurahia vita kwa vile vinaamshatamaa mbaya ya moyo na kuwafagiliamilele wale wote ambao ni matekawake waliojiingiza katika uasherati naumwagikaji wa damu. Ni kusudi lake12nguvu zao ili washurutishe “wote,wadogo kwa wakubwa, na matajirikwa maskini na walio huru kwawatumwa” (ufunuo 13:16), wapokeechapa katika vipaji vya nyuzo zao hatahivyo watu wa Mungu hawataipokea.Nabii wa patimo aliwaona “walewenye kushinda, watokao kwa yulemnyama na sanamu yake na kwahesabu ya jina lake walikuwawamesimama kando kando ya hiyobahari ya kioo wenye vinubi vya,Mungu”. Nao wauimba wimbo wamusa mtumwa wa Mungu na wimbowa mwana kondoo. Ufunuo 15 : 2-3.Madanganyifu Mawili MakubwaKUTOKANA na madhanganyifumawili makubwa, kutokufa kwamtu wa asili na kutakaswa kwaJumapili, shetani atawalete watu chiniya udaganyifu wake. Huku la kwanzalikiwa linaweka msingi wa imani kwaroho za mizimu, la pili litaletemuungano pamoja na Rumi.Waprotestanti wa nchi za marekaniwatakuwa wa kwanza kunyooshamikono yao kwa lile pengo kubwa ilikushika mkono wa roho za mizimu,watan-yoosha mkono wao juu yashimo kubwa ili kushikamana nakuamusha mataifa ili kupigana waokwa wao, kwa vile kwa njia hiyo awezakupotosha mawazo ya watu kwa kaziya maandalizi katika siku ya Bwana.Shetani hufanya kazi kupitia kwa vituvya kuonekana kwa roho ambazohawako tayari. Amejifundisha siri yauvumbuzi wa maumbile na hutumianguvu zake zote kwa kutumiamaumbile hata kiwango kile Munguanapomkuba-lia. Aliporuhusiwakumtesa ayubu, ni kwa haraka ganimifugo na malisho, wajakazi,majumba, watoto, walifagiliwa mbali,shida moja ilifuata ingine kama kwadakika. Ni Mungu anayewakingaviumbe vya-ke na kuwazingirakutokana na nguvu za mwangamizi.Lakini ulimwengu wa wakristowameonyesha madharau kwa sheriaza Yehova na mungu atatenda ileambalo amelitangaza kuwa atalitendaataondoa mibaraka yake katikaulimwengu na kuondoa kinga yake yauwezo wa kirumi; na chini yamuungano wa hawa watatu, nchi hiiitafuata nyayo za Rumi kwakukanyagia chini uhuru wa dhamira.Mpaka wa kubainisha kati yawanaokiri kuwa ni wakristo na waovuni vigumu sana kutofautisha.Washiriki wa kanisa wan-apenda yaledunia inapenda na wako tayarikuungana pamoja nao, na shetaniamekusudia kuwa-unganisha wotekatika muungano moja, na kwa hivyoapata kujipatia nguvu akiwafagiliawote katika daraja za kuamini mizimu.Waf-uasi, wa Rumi wajisifuo kwamiujiza, kuwa ishara kamili ya kanisala kweli hao watakuwa tayarikudanganywa na nguvu hizi zakufanya miujiza, na waprotestantiwakiwa wameachilia mbali ngao yakweli, hao pia watadanganywa.Wafuasi wa Rumi, waprotestanti nawatu wa ulim-wengu wote watakubalitu mfano wa utauwa usio na nguvu,na wataona katika huu muunganomwendeleo mku-bwa wa kuiongoadunia na kuwafungulia siku elfu mojaza raha zilizo tarajiwa kwa mudamwingi.❏Shetani Kulazimisha Mpango wa Ulimwengu Mpyaulinzi kutoka kwa wale wanaoendakinyume cha sheria yake, nakufundisha wengine kufanya sawa nahawa. Shetani anatawala wale woteambao hawako chini ya ulinzi waMungu. Atapendekeza nakuwafanikisha wengine ili kutimizamatakwa yake, na atawaleteawengine taabu na kuwaongozawaamini ya kwamba ni Munguanayewatesa. Huku akionekana katiya watu kama tabibu mkuu awezayekuponya magonjwa yao yote, ataletamag-onjwa na uharibifu mpaka mijimik-uu isoroteke kwa kuangamizwana kuharibiwa.Waasi KutambulikaNA BASI ndiposa yulemdanganyifu mkuuatawashawishi watu ya kwambawamtumikiao Mungu ndio waletaoshida hii. Lile kundi ambalolimeikasirisha mbingu watatoalawama kwa wale wote ambao utiifu

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!