10.07.2015 Views

ONYO LA MWISHO KWA DUNIA - infonom

ONYO LA MWISHO KWA DUNIA - infonom

ONYO LA MWISHO KWA DUNIA - infonom

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

kweli watafunuliwa. Je watu wa Mungusasa hivi wamejipanga imara katikaneno lake ili wasije wakajitoe kwaushahidi wa mawazo yao?Yawezekana, katika pambano kamahilo waishikilie biblia na bibilia pekee?Itawezekana apange mambo iliNi Nini Cha Kufanya SasaKATIKA kiwango hiki natugeuze macho yetu kutokakwa historia ya yaliopita napambano lililo mbele yetu, natutazame kiini cha mambo sasa .Waweza kuwa mtoto wa Mungu sasahivi - dakika hii - ikiwa utataka. Munguameyafanya yote ambayoyamempasa kufanya, mpaka tuukubali yale ambayo ameyatenda.Mungu anakupenda sasa “hataakamtoa mwanawe wa pekee, ili kilaamwaminiye asipotee bali awe nauzima wa milele “ yohana 3:16.Nguvu ya KuwezeshaJE UMESHAPOKEA kipawa hicho?wote wampokeao hupewa nguvuya kufanyika watoto wa Mungu “Baliwote walio mpokea aliwapa uwezo wakufanyika watoto wa Mungu, ndio walewaliaminio jina lake,” yohana 1:12wewe ni wa Mungu. Alikuokoa Kwahivyo wewe ni wake katika wokovulakini hatakulazimisha; ni lazimaawazuie kutopata maandalizi ilikusimama katika siku hiyo. Atapangahali ya mambo, ili kuwafungia njia,kuwanasa na mali ya duniakuwafanya wabebe mizigo mikubwaya kuchosha, na siku hiyo iwajilie juuyao kama mwivi.❏uchague kuwa wake; ni lazima ukubalihaki yake, na uhusiano wako, ujitoapokwake, basi wewe ni wake. Tazamawarumi 6 :16. Dakika ile ile unapotoamaisha yako kwa uongoziwake,dakika hiyo hiyo yeyehukuongoza. Basi huwa dakika - kwadakika kutembea na Mungu.Ukiongozwa naye, wewe ni mtotowake. “ Kwa kuwa wote wanaongozwana roho wa Mungu, hao ndio wana waMungu.” Warumi 8 : 14.Je, unajua ya kwamba dhambi niuvunjaji wa sheria za Mungu? “Kilaatendaye dhambi, afanya uasi, kwakuwa dhambi ni uasi” 1 Yohana 3:4,Tazama pia warumi 5 :13 na 7:7.Je, unajua ya kuwa siku ya saba nisabato ya Bwana? “Na siku ya sabaMungu alimaliza kazi yake yotealiyoifanya. Mungu akaibariki siku yasaba, akaitakasa kwa sababu katikasiku hiyo Mungu alistarehe, akaachakufanya kazi yake yote aliyoiumba na14MADAI YA RUMI“MWANDISHI wa The Catholic Mirror ya Baltimore, MD,alichapisha mfululizo wa habari za waandishi wengine wanne,Zilizoonekana katika jarida la Septemba 2, 9, 16, na 23, 1893.Basi, nakala hizi hata ingawa hazikuandikwa na mkono wa askofu(Gibbons) mwenyewe, bado Zaonekana kuidhinishwa chini ya amriyake, na zina usemi wa kipapa katika jambo hili, haya ni madaiyalio wazi ya upapa kwa uprotestanti, na ni madai ya upapa yakwamba waprotestanti watatoa kwa upapa Sababu ya hao kuitunzaJumapili....“Waadventista ndio tu jamii ya wakristo walio na Biblia kamamwalimu wao, ambao hawawezi kupata thibitisho katika nakalazake kwa kuibadilisha siku kutoka siku ya saba hadi siku ya kwanza.Kwa hivyo, Jina lao ni Waadventisha wasabato.’Waprotestanti....wameikataa siku iliotajwa na Mungu kwa ibadayake, na wakakubali dhahiri kupigana na Amri yake Mungu, sikuya ibada yake ambayo haijawahi kuruhusiwa kwa kusudi hilo, katikanakala za Bibilia....“Lakini kwa kweli, bila shaka, na kwa uadilifu busara halisi ya hakihukana lawama kwa kundi hili ndogo (Waadventista wa sabatoambao hesabu yao leo ni zaida ya millioni 8) bila uchunguzi kamili....“Ulimwengu wa uprotestanti umekuwa kutoka utotoni mwake, katikakarne ya 16, ukishikamana kabisa na kanisa la katoliki, katikakuitakasa Jumapili wala si Jumamosi.“Ikiwa...kwa upande mwingine, (Waisraeli na waadventista) wakisasa watatoa malalamishi yalio kinyume cha Jamii kubwa yaWaprotestanti...(Waprotestanti)...hawana njia ingine tena ilisaliaila tu ni kukubalia kwamba wamekuwa kwa muda wa karne tatuwakifundisha na kutenda yalio kinyume cha maadiko....Kwakuongezea katika zito wa andiko hili na kosa lisilo sameheka,umesababisha kuwekwa mkazo katika moja yapo ya amri zaMungu kwa mtumishi, wake mwanadamu: “Ikumbuke siku yasabato uitakase.” (siku ya saba) Hakuna waprotestanti, (ila tuwaadventista wengine wachache) wanaoishi hivi leo ambaowameshakubali kuitii sheria hiyo, wakipendelea kufuata kanisaambalo limeasi kuliko kumfuata mwalimu wao yaani Bibilia,ambayo kutoka mwanzo hadi ufunuo haifundishi mafundishomengine.....” Rome’s Challenge, 1-5.“Huku mwisho hautaepukika, yaani, kwa wale wanaoifuata Bibiliakama kiongozi wao, waisraeli na waadventista wanao ushahidi wakutosha kwa upande wao, huku waprotestanti wa Bibilia hawananeno hata moja la kujikinga katika kuibadilisha Jumapili kutokaJumamosi.” Romes Challenge, 11. ❏kufanya,” Mwanzo 2:2-3. Tazama piakutoka 20 : 8-11.Kuzaliwa Upya<strong>KWA</strong> RAFIKI wa dunia tunafanyauhusiano kwa kuonana amakusalimiana. Kwa Yesu tunaunganakwa mawazo yetu. Amini neno laMungu. Amini katika roho yako.Tanzama warumi 10:10 Basi imanichanzo chake ni kusikia, na kusikiahuja kwa neno la kristo “Warumi 10 :17. Ndiposa imami ya Yesu huja kwa

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!