10.07.2015 Views

ONYO LA MWISHO KWA DUNIA - infonom

ONYO LA MWISHO KWA DUNIA - infonom

ONYO LA MWISHO KWA DUNIA - infonom

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

wao kwa sheria za Mungu ni kemeoya milele kwa waasi. Itatangazwa yakwamba watu wanaomkosea Mungukwa kuvunja Sabato ya jumapili, yakwamba hii ndio dhambi inayoletemaafa ambayo hayatakoma mpakakutakaswa kwa jumapili kutakapotiliwamkazo, na ya kwamba walewanafundisha madai ya kutunza amriya nne, basi kuvunja utakatifu wajumapili, hao ndio wataabishi wa watu,wakizuia kurejeshwa kwa wema waMungu, na kuendelea kwa muda.Nguvu za kazi ya miujiza ikifunuliwakupitia kwa roho za mizimu italetemvuto wake juu ya wale wamechaguakumheshimu Mungu kulikowanadamu. Mawa-siliano kutoka kwaroho wachafu watatangaza yakwamba Mungu amewatumakuwahakikishia wale ambaowanakataa kutunza juma-pili kwambawamekosea, na kuw-adhibitishia yakwamba sheria za nchi ni shartizitunzwe sawa na sheria za Mungu.Watalilia uasi mkuu duniani na kurudiaushuhuda wa waalimu wa dini yakwamba kupungua kwa hali ya tabiakumesababishwa na kutotunzajumapili. Hasira kali itaamshwa juu yawale wote wanaokataa kukubaliushuhuda wao. ❏Ujumbe wa Malaika wa TatuSHETANI KUJIFANANISHAKRISTOKAMA TENDO la hali ya juukatika mchezo waudanganyifu shetani mwenyeweatajifananisha kristo. Kwa mudamrefu kanisa limekuwa likidaikungojea kurudi kwa kristo kamamwisho wa tumaini lake. Sasamdanganyifu mkuu ataifanyakuonekane ya kwamba kristoamekuja. Katika sehemu mbali mbaliza dunia, shetani atajionyesha katikatiya watu kama kiumbe chenye nguvuya kustaajabisha, akijifananisha nahali ile ile ya mwana wa Mungu jinsiyohana ametaja katika ufunuo Rev“Ilichukuwa upapa namashirika yake yote, kanisakatoliki la kirumi, karibu miakayote ya 2000 kuufikia utimilivuna hali yake ya kisiasa.... Nalengo la kisiasa na ujenzi?ndiyo, na lengo la kisiasa naujenzi. Kwa maana utafiti wamwisho, yohana Paulo wa IIkama vile anavyodai kuwamwakilishi wa kristo amedaikuwa yeye ni hakimu mkuukatika jamii ya kimataifa.” Keysof This Blood, M. Martin, pages374- 375.1:13-18. Utukufu unaomzunguka niule usiozidi cho chote ambachomacho ya mwanadamu amewahikuona. Sauti ya shangwe ikasikika juuangani “kristo amekuja! kristoamekuja!” watu wataanguka chinikatika heshima mbele yake, hukuakiinua mikono na kutangazamibaraka juu yao, jinzi kristoaliwabariki wanafunzi wake wakatialipokuwa hapa duniani. Sauti yake ninyororo na laini huku imejawa nanyimbo za furaha. Katika utulivu, sautiza huruma atatoa baadhi ya kwelizingine za mbinguni ambazo mwokozialitoa; ataponya magonjwa ya watu,na katika tabia yake ya kujifananishana kristo atadai ya kuwa ndiyealiyeibadilisha sabato kwenda jumapilina ataamrisha wote waabudu siku ileameibariki.Atatangaza ya kwamba walewanaosizitiza kutunza takatifu siku yasaba ya sabato hao wanalikufuru jinalake kwa kukataa kusikiza malaikawaliotumwa kwao na nuru na ukweli.Huu ndio udanganyifu mkubwa wahali ya juu. Kama vile wasamariawalivyodanganywa na simoni, umatimkubwa tangu mdogo hata mkubwawakamsikiliza huyu mchawi, wakisema:”Huuni uwezo wa Mungu, ulemkuu”. Malendo 8:10.13“Na mwingine, malaika wa tatu, akafutata,akisema kwa sauti kuu, mtu awaye yote akamsujuduhuyo myama na sanamu yake na kuipokea chapakatika kipaji cha uso wake au katika mkono wakeyeye naye atakunywa katika mvinyo wa ghadhabu yaMungu iliyolengenezwa, pasipo kuchanganywa namaji, katika kikombe cha hasira yake; naye atateswakwa moto na kiberiti mbele ya malaika na mwanakondoo: Na moshi wao hupanda juu hata milele namilele, wala hawana raha mchana au usiku, haowamsujuduo huyo myama na sanamu yake, na kilaaipokeaye chapa ya jina lake.” Ufunuo 14: 9-11 (kwamaelezo kamili usome vita kuu).Kuitambua Huyu Mdanganyifu<strong>LA</strong>KINI WATU wa Munguhawatapotoshwa. Mafundishoya huyu kristo wa uongo hayamosambamba na maandiko. Mibarakayake, itatangazwa juu ya wasujuduomnyama na sanamu yake. Kundi hilohilo ambalo Bibilia inasema yakwamba juu yao ghadhabu ya Munguisiochanganywa na maji itawaangukia.Na zaidi, ya hayo, shetanihajaruhusiwa kuiga namna ya kurudikwa kristo. Mwokozi amewaonya watuwake kuhusu uongo juu ya jambo hili,na ametangulia kusema dhahiri jinsiya kurudi kwake mara ya pili. “Kwamaana watatokea wakristo wa uongo,na manabii wa uongo, nao watatoaishara kubwa na maajabu; wapatekuwapoteza, kama yamkini hata waliowateule..... Basi akiwaambia, yukojangwani, msitoke; yumo nyumbanimsisadiki, Kwa maana kama vileumeme utokavyo mash-arikiukaonekana hata magh-aribi hivyondivyo kutakavyokuwa kuja kwamwana wa adamu”. Mathayo 24 : 24 -27, 31 ; 25:31. Ufunuo 1:7; 1Wathesalonike 4: 16-17. Kuja kwa halikama hii hakuna uwezekano wakuuiga. Kutaju-likana na watu wote -ukishuhudiwa na ulimwengu wote.Ni Bibilia TuWALE TU ambao wamekuwawasomi wa maandiko na walewamepokea kuipenda kweliwatazingirwa kutokana naudanganyifu mkubwa utakaochukuwaulimwengu mateka. Kwa ushuhuda waBibilia hawa watamtambuamdanganyifu na hila zake. Kwa wotesaa ya kujaribiwa itawajilia. kwakupepetwa na majaribu wakristo wa“Lengo la mwisho la ulimwengu wote kuja pamoja, jinzi wakatholiki wanafikilia, ni umoja waimani, ibada, na kutambua mamlaka kuu ya kiroho ya askofu wa Rumi.” Prist J. Cornell.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!