10.07.2015 Views

ONYO LA MWISHO KWA DUNIA - infonom

ONYO LA MWISHO KWA DUNIA - infonom

ONYO LA MWISHO KWA DUNIA - infonom

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

SHETANI, MPANDA MAOVU, ALITOKA WAPI?Mwanzo wa Dhambi<strong>KWA</strong> MAWANZO ya wengi,mwanzo wa dhambi nasababu yake kuendelea ni chanzocha wasiwasi mkuu.Wanaona kazi ya uovu nimatokeo yake ya kutisha huzuni nawanauliza ni vipi haya yote yawezakuwepo chini ya uongozi wa yulemtakatifu aliye na hekima yambinguni, uwezo na upendo. Nivigumu sana kueleza mwanzo wadhambi ili kutoa sababu ya kuwepokwake. Na zaidi ya hayo yawezakueleweka kuhusu mwanzo wadhambi na mwisho ili kuweka wazihaki na wema wa Mungu katikakujulikana hali ya maoni. Dhambini mdukizi, ambaye kuonekanakwake hakuna sababu ya kutoa.Kama kungelikuwa na kisingizio chakuwepo, kwake ama sababu yakuendendelea kuwepo kwake, basiingekomakutokuwadhambi.Maelezo yetu kuhusudhambi ni yale tu yametolewa katikaneno la Mungu. Ni “Uvunjanji washeria.”Upendo wa Mungu na KiburiSHERIA ya upendo ikiwa nimsingi wa serikali ya Mungu,furaha ya viumbe vyote ilitegemeaumoja mkamilifu pamoja na maagizoyake ya haki. Mungu hutumainiakutoka kwa viumbe vyake hudumaya upendo na unyenyekevuunaotokana na kufurahia tabia yake.Mungu hafurahishwi na Mapatanoya kulazimishwa, na kwa wotehuwapa uhuru kuna mmoja tualiyechagua kupofusha uhuru huu.Dhambi ilianzishwa na yeye,ambaye alikuwa karibu sana nakristo, na alikuwa ameheshimiwasana na Mungu na ndiyealiyesimama juu ya mamlaka nautukufu kati ya wenyeji wa mbinguni.Kabla ya kuanguka kwake, Nyota yaasubuhi alikuwa kerubi wa kwanzaafunikaye, takatifu na isionajizi.tazama Ezekieli 28:12-15.Huyu nyota ya asubuhiangeendelea kuwa na pendekezo naMungu, kupendwa na kuheshimiwana jeshi lote la malaika, akiuonyeshauwezo wake kwa kuwabariki wenginena kumtukuza muumba wake. Lakininabii asema hivi “ Moyo wako uliinukakwa sababu ya uzuri wako,umeiharibu hekima yako kwa sababuya mwangaza wako.” Ezekiali 28:17.Kidogo Kidogo huyu nyota waasubuhi akaja kutamani kujiinua nafsiyake.”Nawe ulisena nitakiinua kitichangu juu kuliko nyota za Mungu.Nami nitaketi juu mlima wamakutano....nitapaa kupita vimo vyamawingu: nitafanana na yeye aliyejuu! Isaya 14:13-14. Badala yakutafuta kumfanya Mungu kuwamkuu katika upendo na umoja kati yaviumbe zake, ili Juhudi za yule nyotaya asubuhi kujitakia huduma naheshima kutoka kwa wale malaika.Na kwa kutamani heshima ambayoMungu wa milele alikuwa amempamwanawe huyu mkuu wa malaikaakatamania nguvu ambazo zilikuwani za kristo peke yake.Mwana wa Mungu ndiyealiyejulikana kuwa mwenye mamlakambinguni, aliyekuwa na uwezo namamlaka sawa na Baba yake. Katikabaraza zote za Mungu, kristo alikuwani mshiriki, huku shetanihakuruhusiwa kuingia katika makusudiya Mungu. “kwa nini huyumalaika mkuu akauliza “Kristo awezakuwa na utawala? Kwa nini yeyeanaheshimiwa kuliko yule nyota yaAsubuhi.Kufunikwa na siriSHETANI alikuwa ameheshimiwasana, na matendo yake yoteyalikuwa yamefunikwa na siri. Hivikwamba ilikuwa ni vigumu kufunuakwa malaika asili ya kweli ya kaziyake. Mpaka wakati ule tabia yakeilionekana vizuri, dhambihaingeonekana kuwa mbaya jinsiilivyo-kuwa, kwa hivyo haikuwaimepata mahali katika ulimwengu wa8Mungu, na hakuna viumbe watakatifuwaliokuwa na wazo juu ya uasi naudanganjifu wake. Haw-angetambuamatokeo ya kutisha, ambayoyangetokea kwa kuiweka kandosheria za Mungu. Kwa Mungukuichukulia dhambi, angetumia hakina kweli Shetani angetumia kileambacho Mungu hangetumia.....kushawishi na udanganyifu. Matenganoambayo yalisababishwa nakazi yake mbinguni, shetanialiwekelea juu sheria na serikali yaMungu. Maovu yote alidai kuwa nimatokeo ya uongozi mbaya waMungu. Alisema kuwa ilikuwa nikuzudi lake kurekebisha maagizo yaMungu. Kwa hiyo ilikuwa muhimu iliapate kuonyesha asili ya madai yake,na kuonyesha mabadiliko yake katikasheria za Mungu. Kazi yakemwenyewe ni lazima imuhusu yeyemwenyewe. Shetani alidai tangu hapomwanzo yakwamba hakuwa muasi. Nimpaka angekuwa na muda wakujionyesha katika maovu yake.Ulimwengu mzima ni mpakawangemuona mdanganyifu huyuakifunuliwa.Roho Yule YuleROHO YULE yule aliyesukumiauasi mbinguni bado anachocheauasi hapa duniani shetaniameendelesha pamoja na wanadamuujaja ule ule alioutumia pamojana malaika. Kwa kukosoa tabia yaMungu kama jinzi alivyo fanya hukombinguni, kwa kumfanya yeye kuwamkali na mdhalimu Shetaniakamdanganya mwanadamu kufanyadhambi. Na alipofaulu sana kwaumbali, akat-angaza kuwa mashartiya Mungu yasio ya kweli yalimfanyamwan-adamu kuanguka, kama jinsimaagizo hayo yaliongoza kuangukakwake Mungu alitoa ushahidi kwaupendo wake kwa kumtoa mwanawake wa kipekee kufa kwa ajili yakizazi kilichoanguka. Katika upatanishotabia ya Mungu hufunuliwa.Mabishano makuu ya msalabahuudhihirishia ulimwengu wote yakwamba matokeo ya dhambi ambayoyule nyota ya Asubuhi alikuwaamechagua hayakuwa kwa njiayoyote lawama juu ya serikali yaMungu.Zaidi ya WokovuHAIKUWA tu kwa kukamilishawokovu wa mwanadamu ilikristo akaja duniani kuteseka nahata kufa. Alikuja “kuipanua” sheriana “kuitukuza” sio tu wenyeji waulimwengu huu wanaohitajikakutunza sheria jinsi inayohitajika,Iakini ilikuwa ni kudhihirisha nchizote za mbinguni ya kwaba sheriaza Mungu hazibadiliki. Kamamadaiyake yangewekwa kando,basi mwana wa Munguhangehitajika kujitoa maisha yakekuwa patanisha wenye dhambi. Kifocha kristo huhakikisha kuwa sheriaza Mungu hazibadiliki.Katika siku ya mwisho yahukumu itaonekana ya kuwambahakuna sababu ya dhambikwendelea msalaba wa kalwari,huku ukitangaza ya kwamba sheriahaibadiliki, huitangazia mbingunikuwa mshahara wa dhambi nimauti. Katika kilio cha mwisho chamwokozi “imekwisha” onyo la mautila shetani likalia. Vita kuuvilivyokuwa vimeendelea kwa mudamrefu basi hapo vikaamuliwa, nakuondolewa milele kwa maovukukahakishiwa. Ulimwengu woteungekwa mashahidi kwa asili namatokeo ya dhambi.❏

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!