10.07.2015 Views

ONYO LA MWISHO KWA DUNIA - infonom

ONYO LA MWISHO KWA DUNIA - infonom

ONYO LA MWISHO KWA DUNIA - infonom

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

JE RUMI ITATAWA<strong>LA</strong> ULIMWEGU TENA?Sio juhudi la jarida hilikushambulia watu binafsi balini kutoa historia na kibibiliaunabii uliotabiriwa katikampangilio wa dini ya Kikatolikisiku za usoni.MAPATANOYA KIFOMTUME PAULO, katikabarua yake ya pili kwaWathesalonike,alitangulia kutabiri juu ya uasi mkuuambao matokeo yake yangeletakusimamishwa kwa uwezo wa kipapa.Alitangaza kwamba siku ya Kristohaitakuja, “usipokuja kwanza uleukengeufu, akafunuliwa yule mtu wakuasi mwana wa uharibifu; yulempingamizi ajiinuaye nafsi yake juu yakila kiitwacho mungu, au kuabudiwa;hata yeye mwenyewe kuketi katikahekalu la Mungu, akijionyesha nafsiyake kana kwamba yeye ndiyeMungu.” Na zaidi ya hapo, mtumepaulo alionya wandugu wake wa imanikwamba “maana ile siri ya kuasi hivisasa inatenda kazi.” 2 Wathesalonike2:3-4,7. Hata mwanzo wa nyakatihizo, aliyaona yakinyemelea kuingiakanisani, makosa ambayoyangeandaa njia kwa kukua kwaupapa.Kidogo kidogo, kwanza kwa siri nakimya, na wazi zaidi ilipokuwaikiongezeka kwa nguvu na kuyategamawazo ya watu, “siri ya uasi”iliendeleza mbele udanganyifu wakena kazi yake ya makufuru. Karibukutoonekana kabisa mila za kishenzizikapata mahali kuingia katika kanisala Ukristo. Ile roho ya mapatano nakufanana ilizuiliwa kwa muda namateso makali ambalo kanisalilifumilia chini ya kishenzi. Lakinimateso ilipokoma, na Ukristo kuingiamajumba ya wafalme, kanisa likawekakando unyenyekefu wa kristo namitume wake kwa kujitakia makuu nakiburi ya makuhani na viongozi wakishenzi; na katika sehemu ya sheriaya Mungu, badala yake likabandilishaelimu na mafundisho ya watu.Kuongoka nusu kwa Costantino,katika mwanzo wa karne ya nne,kulileta shangilio mkubwa; naulimwengu, ukiwa umefunikwa mfanowa nguo ya haki, ukaingia kanisani.Sasa kazi ya uharibifu ikaendeleambele kwa kasi. Ushenzi,ulipoonekana kushindwa, badala yakeukashinda. Roho wake akatawalakanisa. Mafundisho yake, sherehezake, na mambo ya uchawivikashirikishwa katika imani na ibadaza wanaokiri kuwa Wakristo.Mtu wa KuasiMAPATANO hayo kati yakishenzi na Ukristo yalitokeakustawi kwa yule “mtu wa kuasi”aliyetabiriwa katika unabii kuwampingamizi ajiinuaye nafsi yake juu yaMungu. Utaratibu huu wa dini yauongo ni kazi bora ya nguvu zaShetani-ni nguzo ya juhudi yake yeyemwenye kukaa katika kiti kuitawaladunia kulingana na mapenzi yake.Shetani alijitahidi awali kufanyamapatano na Kristo. Alimjia Mwanawa Mungu katika jangwa ya majaribu,akimwonyesha Yeye falme zote zaulimwengu na utukufu wake wote,akamuahidi kutoa vyote mikononiMwake ikiwa Angekiri utawala wahuyu mfalme wa giza. Kristoalimkemea mshawishi huyo mwenyekiburi na kumtukuza. Lakini Shetanihuleta majaribu hayo kwamwanadamu. Kwa kupata faida zaulimwengu na heshima, Kanisalikaongozwa kutafuta upendeleo nadunia; na baada ya kumkana Kristo,akashawishiwa kutoa utiifu kwamwakilishi wa Shetani askofu waRumi.Msingi wa UpotovuNI MOJA yapo ya mafundishotangulizi ya Kirumi ya kwambapapa ndiye kichwa halisi cha kanisala Kristo ulimwenguni, ambayeamezingirwa na uwezo wa utawala juuya maaskofu na wachungaji katikapembe zote za ulimwengu. Zaidi yahayo, papa amepewa jina la Mungu.Amekuwa akiitwa kwa umbo la2“Mungu Bwana Papa,” na amekuwaakinenwa kuwa asiyeanguka. Yeyehutaka watu wote wamsujudie. Dai lilelile Shetani alisisitiza katika jangwa lamajaribu anaendelea kusisitiza kupitiaKanisa la Rumi, na idadi kubwa yawatu wako tayari katika heshima zake.Lakini wamchao Mungu nakumheshimu hukumbana na madaihaya ya kujiinua-juu ya Mbingunikama vile Kristo alivyo kumbana na“Hapa duniani tunashikiliapahali paMungu Aliye Juu.”Papa leo XIII, Katika baruakitabu cha maarifu juni 20 1894.ushawishi wa yule mjanja: “MsujudieBwana Mungu wako, umwabudu yeyepeke yake.” Luka 4:8. Mungu hajawahikudokeza katika Neno Lake yakwamba Yeye amemteuwa mtu yeyote kuwa kichwa cha kanisa.Fundisho la utawala wa kipapahupinga kabisa mafundisho yaMaandiko. Papa hawezi kuwa nanguvu juu ya kanisa la Kristo ila tu kwaunyang’anyi.Warumi wameshikilia katika kuletauzushi juu ya Waprotestanti nakujitenga katika kanisa la kweli. Lakinilawama hizi zina walenga haowenyewe. Hao ndio walioi-shushachini bendera ya Kristo na wakajitengana “imani iliokabidhiwa watakatifumara moja tu.” Jude 3.Vumbuzi la UongoSHETANI alijua sawa kabisa yakwamba Maandiko MatakatifuChurch of St. Peter, Romeyangewezesha watu kutambuaudanganyifu wake na kupinga nguvuzake. Ni kupitia kwa Neno hiloMwokozi wa ulimwengu alizipingashambulizi zake. Katika kila shauri layule adui, Kristo alitoa kinga la ukweliwa umilele, akisema, “imeandikwa.”katika kila shawishi la yule adui,Aliupinga akitumia hekima na nguvuya Neno. Ili Shetani audumisha mvutowake juu ya watu, na kusimamishauwezo wa unyanganyi wa kipapa, nimpaka angefanya wasiyajueMaandiko. Bibilia ingemwinua Munguna kuwaweka wanadumu katikamahali pao halisi; kwa hivyo, kweli zaBibilia zingefichwa na kukanyagiwachini. Na elimu hii ilibuniwa na Kanisala Kirumi. Kwa mamia ya miakausambazaji wa Bibilia ulikataliwa.Watu walikatazwa kusoma au kuwanayo manyumbani mwao, namakuhani wasio na msingi namaaskofu wakatafsiri mafundishoyake ili kutosheleza ubinafsi wao. Kwahivyo papa akawa Mungu duniani,ambaye amevikwa mamlaka juu yakanisa na serikali.❏KUSUJUDUKISHENZIFUMBUZI la uogo lilipoondolewa,Shetani akafanyakulingana na mapenzi yake.Unabii ulikuwa umetangaza kwambaUpapa “ungefikiria kubadili maji ra na

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!