10.07.2015 Views

ONYO LA MWISHO KWA DUNIA - infonom

ONYO LA MWISHO KWA DUNIA - infonom

ONYO LA MWISHO KWA DUNIA - infonom

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Onyo la Mwisho kwa UlimwenguAMANI <strong>DUNIA</strong>NI” ni jambolijulikanalo sana mara mojakila mwaka na ulimwengu wawakristo washerekeapo krismasi. Kwakweli kila mahali watu wazuri hakunawanachotamani sana kama vile kuwana amani duniani ili wapate kuonjafuraha ya jamii, imani, marafiki namshahara wa kazi yao nzito. Lakini nivipi amani ya dunia inaonekana yakudanganya!Kwa miaka ya nyuma duniaimekuwa na nyakati za vipindi mbalimbali ya kupumzika kisiasa na kijamiikatika wakati wa milki za dunia kama vilebabeli, wamedi na wajemi, wayunani, nawarumi katika historia ya kwamba wakatiwa kuanguka kwa milki ya Rumi, ulayailigawanyika mataifa kumi mbali mbali.Zaidi karne nyingi maelfu na hatamamilioni ya watu wame-angamia, kwavile mashujaa mbali mbali wenye nguvuwamejitahidi bila kufanikiwa katikakukusanya pamoja tena nchi hizi kumi.Vita vya kwanza vya duniavilipiganwa “kumaliza vita” ubatili wamadai hayo uliwekwa wazi na mteketeomkubwa wa vita vya pili vya dumia. Kwakweli vita hii vya ulimwengu wote vilifikiamwisho tu, wakati ule fumbuzi na utumiziwa silaha za atomiki binadamu amefumbua silaha zenye nguvu zakuangamiza na za kuogofya hivi kwambatumehofia ya kwamba vita vyo vyotevyaweza kumalizia kwa maangamizi yakinukilia vikiwa na uwezekano mkubwawa kuang-amiza maisha ya watu katikasayari hii.Amani kama matokeo ya hofu yamaangamizi imeonyesha pia kuwa hainanguvu. Hata katika tisho la uharibifu wasilaha za sumu dunia imeshuhudia wingiwa mapambano na silaha ndogo ndogona mapambano mengine makubwakama yale ya Korea, Vietnamu, naAfgha-nistani, Nguvu hizi mbili-urusi namarekani wamejiondoa katika hali yakufunjika moyo kwa vita ambavyohawange vishinda kwa silaha za kawaidaKuyeyuka kwa ukuta wa Berlin - 1989Ni Nguvu ngapi Zimebaki?pekee lakini waliogopa kuachilia silahaza sumu.Katika hali hii ya kupambana kwakulete umoja, na tumaini katika dunia hii,imechukuwa hatua na nguvu nyingi zakibinafsi kwa kutoa suluhisho ya mahitajiya mwana-damu kwa amani namaendeleo. Katika oktoba 1978 Askofuasiy-eoo-nekana ambaye ni karoiwojtyla, alichaguliwa kuwa kiongozi wakanisa katoliki na kiongozi wa mji mkuuwa vatikani. Papa wa wakati huuamejaribu sana kutumia mamlaka yakeya pili katika juhudi za kuingiza imaniyake kuwa yeye in papa atakayerejeakatika kiti cha utawala ulimwenguni, kitiambacho mapapa walilazimishwakuhama mnamo mwaka wa 1798 Katikamwisho wa zile zama za giza. Wengiwanamchukulia kuwa ni papa wakwanza wa nyakati hizi aliye nauwezekano wa kutimiza lengo hilo.Kitabu kiitwacho (The keys of this blood)kilitangaza mlolongo wa matukio yanayokusudiwa kuibadilisha dunia milele.Kinaonyesha washirika halisi katikamatukio haya na mwisho wa kusudi lao.Kitabu hicho kinaendelea kusema “PapaYohana Paulo wa II wanapigana na urusina nchi za magharibi kwa lengo lakuongoza mpango wa ulimwengu mpya.Mwandishi Malachi Martini mm-ojawapo wa mwanachana wa jamii ya diniyakirumi na mchunguzi wa mambo yandani ya vatikani, alipata kuona vileupapa unapambana kutawalaulimwengu. Kitabu hicho kinalete baadhiya unabii unaohusu dunia katika sikuza usoni, na kinaeleza sana maarifa yavatikani kwa kuitawala dunia. moja yapoya huo unabii unaonyesha maarifa yapapa katika kuiangusha nchi ya urusi.(USSR)Kutimia kwa unabii huo sasaumeandikwa vizuri sana katika Historia.Chapa nyingi za dunia zimeitambuavizuri sana kazi na Jukumu la papa katikakuivunja kwa ukomunisti wa urusi jinziimeonyeshwa katika kuanguka kwaBerlin wall Novemba 9, 1989.Sasa muungano wa sovieti yazamani ni mojayapo ya historia,washirika waliosalia katika pambano lakuvuta na hata kutawala watu wa kizasicha mbele ni marekani, umoja wamataifa na papa yohana wa 2. Badoinatazamiwa kuonekana ikiwa uchina yakikomunisti itaendelea ama itaonyeshaorodha ya kisiasa.Kwa sababu ya mwandishi mmojawa jamii ya dini ya kirumi anatabiri yakuwa mpango wa ulimwengu mpyaumekaribia, hiyo sio sababu ya kutoshaya kulete hofu isiofaa. Jambo lakuhofisha ambalo limetolewa katikakitabu cha Keys of this blood ni lile yakwamba, liko sambamba na unabiiulioandikwa katika Bibilia muda wamiaka 2000 iliyopita.Mpaka viwango vipi ambapo papa,umarekani na /au umoja wa mataifawatasikia msukumo wa kuenda kuleteutulivu kwa mapambano yaonekanayokuwa hayana mwisho katika dunia yetuya leo? Ni sehemu zipi zitakazochukuliwa kwa kulete amani kati yaulimwengu wa sasa wa kijamii, kisiasana msuko - suko wa kidini? Je, mpangowa ulimwengu mpya au serikaliitasimama katika siku zetu za jitihadaza kurudisha uhusiano wa duniazilizopita? Hatujaachwa kwa kisiokuhusu umuhimu kama huo. Historia naunabii, vimeunganishwa kuwa pam-ojakwa kutoa mwanga wa ajabu nataratibu, katika matukio ya kutetemeshadunia yalio karibu sana naulimwengu mzima. ❏16

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!