10.07.2015 Views

ONYO LA MWISHO KWA DUNIA - infonom

ONYO LA MWISHO KWA DUNIA - infonom

ONYO LA MWISHO KWA DUNIA - infonom

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

wakati huo, na wakaanza kuruhusunuru ya Neno la Mungu kuangaza.Watu Hawa wakapokea jina la kuitwawanaojitenga, sababu, walipouelewaukweli wa Neno la Mungu walionakuwa ni lazima wakatae na kupingamaasi ya Kikatoliki kama wengekuwawaminifu kwa Mungu. Kwa maranyingine tena katika historia ya sayarihii maarifa ya Neno la Mungu yalikuwayamesahaulika. Linganisha ufahamuWageuzi wa mafundisho kwa Upapana imani ya kizazi hiki cha wakati huu.Mafundisho ya KipapaYakataliwaMARTIN LUTHER alisema,“Najua kuwa papa ni MpingaKristo, na ya kwamba kiti chake ni kilecha ya Shetani mwenyewe. Utawalawa Kipapa ni msako wa wote, ambaoumeamuriwa na askofu wa Kirumi,kwa kusudi la kushusha nakuangamiza roho za watu.”Charles Spurgeon alisema, “Nilazima tuwaonye kwa ushujaa wenyeTANGU HAPO mwanzo wa vitakuu huko mbinguni imekuwani kusudi la Shetanikuangusha sheria za Mungu. Kudanganyawatu, na kwa kuwaongozakuvunja sheria za Mungu, ndio lengoambalo amefuatilia kwa mathubutisana. Iwe ni kwa kutekelezwa kwakuondoa sheria ya Mungu kabisa, aukupuuza mmoja ya maagizo yake,matokeo itakuwa sawa mwishowe.Anayejik-waa katika “Sehemu moja”huony-esha madharau kwa jumla yasheria; mfuto wake na kielelezo chakekatika upande wa kuasi; anakuwa“mkosaji juu ya yote”. Yakobo 2:10.Kwa kujaribu kutia madharau kugeuzamafundisho ya bibilia, na makosaimefundishwa ndani ya imani yamaelfu wanaokiri kuwa wanaaminimaandiko. Pambano kuu la mwishokati ya ukweli na uongo ndiyomashindano ya mwisho ya vita vyamiaka mingi juu sheria za mungu. Juuya mapigano haya ndiyo tunaingiasasa mapigano kati ya sheria za watuna maagizo ya mungu, kati ya dini yaBiblia na dini ya uongo na mafundishoya wanadamu.busara wale wanaojielekeza kwamadanganyifu ya Rumi; ni lazimatuwaambie juu ya matendo ya giza yaUpapa.”John Knox alisema papa ni“mpinga kristo halisi.”John Wesley alisema juu ya Upapakuwa, “bila shaka, yeye ni Mtu waKuasi, kwa vile anavyoongeza kilaaina ya dhambi bila kiwango.”John Calvin alisema, “Tuna-mwitapapa wa Kirumi Mpinga Kristo.”Waprotestanti WasahauYaliopitaHIVI LEO wazao wa watakatifuwalioifia dini wamesahau ni kwanini wanajiita Waprotestani. Tazamaya fuatayo:“Sasa ni wakati kwa Waprot-estanikumwendea mchungaji (papa) nawaseme, ‘Tutafanya nini ili tujenyumbani?’ ” Dr. Robert Schuller,alisema Los Angeles HeraldExaminer, Sebtemba 19, 1987.“Mkuu wa Waprotestanti katikaUkafiri umeenea katika kiwangocha juu, sio katika ulimwengu hasa balindani ya kanisa. Wengi wamefikiakukataa mafundisho ambayo ni msingihasa wa imani ya wakristo, ukwelithabiti uumbaji jinsi inavyotolewa nawanaoongozwa na roho mtakatifu,kuanguka kwa mwanadamu,upatanisho, na kuwako mileie yasheria za mungu, ndiyo inakataliwakwa wazi, iwe ni kwa yote au sehemu,na umati mkubwa wanaokiri kuwawakristo katika ulimwenguni.Wachungaji wengi wanawafundishawatu wao, mwalimu mkuu na walimuwa chini wanawafundisha wanafunziwao, kuwa sheria za munguzimebadilishwa au kutenguliwa; nawale wanaoangalia masharti yakekuwa ni ya muhimu, na ya maana kutii,ndiyo wanafikiriwa kuwa wanafaakudhihakiwa na kudharauliwa.Kufanya Sanamu yaMufundisho<strong>KWA</strong> KUKATAA ukweli, watuwan-amkataa mwanzilishiwake. Kwa kukanyangia chini sheriaza Mungu, wanaukataa uwezo wa6Marekani na makanisa ya ki Otho-doxya Mashariki ambaye walikuwawanakutana na Papa Yohana PauloII katika siku ya Ijumaa alipongezamaongeo yao ya kwanza yamashauriano mengi kuwa nguzo katitanjia ya umoja mkuu.... MchungajiDonald Jones, wa kanisa la wafuasiwa Kanisa la Kimethodisto na ndiyemwenye kiti wa idara ya mafundishoya kidini katika Chuo Kikuu ya CarolinaKusini, aliutaja makutano huo kuwa,“ni mkutano wa umoja tena wa maanana wa muhimu katika karne hii.”...Mchungaji Paul A. Crow Jr., waIndianapoli, msimamizi mkuu waKanisa la Wakristo (Wanafunzi waKristo), naye aliutaja kuwa ni ‘sikumpya katika kuungana pamoja’ kwakufungua nyakati za mbele ambazoMungu ‘anatusukuma kwa pamoja.’ ”Mshauri wa Montgomery, Sebtemba.12, 1987.“Ikiwa mafundisho ya Kikatolikiltaendelea kuwa katoliki halisi katikasiku sijazo, ambazo ninazo zitarajiamtoa sheria. Ni rahisi kutengenezasanamu ya mafundisho ya uongo namambo ya kubahatisha kama vilekuchonga sanamu ya miti au mawe.Kwa kusingizia vibaya juu ya tabia yamungu, shetani huongoza watukumwona yeye katika tabia mbaya nawengi sanamu ya elimu imetawazwakatika mahali pa mungu; Huku munguaishie jinsi amefunuliwa katika nenolake, ndani ya Kristo, na katika kaziya uumbaji, anaabudiwa lakini nawachache. Maelfu wanaheshimuMaumbile huku wakikana mungu wamaumbile. Ingawa ni kwa umbotofauti, uabuduaji wa sanamu zimokatika ulimwengu wa wakristo sasakama vile zilimo kuwamo katikati yawaisraeli katika wakati wa Elija miunguya watu wengi wanaokiri kuwa niwerevu, wa walimu, ya watungamashairi, ya wanasiasa, ya waandishiwa habari miungu ya majumba mengimazuri ya vyama vingi na vyuo vikuuhata na baadhi ya majumba ya walimubora ni kidogo kuliko baal, mungu juaya wafoenike.Hakuna uongo hasa unaokubaliwana ulimengu wa wakristochini ya papa wa wakati wa sasa,ndipo tofauti za kitheologia ltakuwa,ni udanganiyifu, lakini mapatano yetuna wakatoliki juu ya utamaduni waserikali itakuwa na kina kirefu.” DavidWells, Eternity Magazine, Septemba1987.“Mafundisho ya Wakatoliki naWaprotestanti kuhusu maisha yaUkristo inafanana. Je sio ya maanakwa wakristo wa badaye?” J. I.Packer, Ukristo wa Sasa, Juni 22,1992.Waprotestanti wamepoteza asiliyake. Iliteuliwa kupinga na kushutumumakosa ya Rumi. Lakini yuko tayarisasa kukumbatia sasa. Wakatiulimwengu shambulizi ya mwisho yaRumi, maadui wa zamani wanaundaurafiki. Ulimwengu wa Waprotestantiwamesahau ya kwamba wana-husikakatika vita ya umilele, na kwa sababuya kupenda kupoteza maarifa,imekusudiwa kuang-amizwa.❏SHERIA NA MPANGO NDIO JARIBU KAMILIwanayogonga kwa ufasiri juu yasheria za mungu hakuna yanayapingazaidi yale yanayonenwa, hakuna yaliona matokeo mabaya kulikomafundisho ya kisasa, yanayo chukuanafasi kwa haraka sana kiasi kwambasheria za mungu hazina masharti juuya watu. Iwapo kama wachungajiwanao julikana, wangehubiri kwa wazikuwa sheria inaoongoza nchi yao nakutunza haki za wazalendo Sio yalazima-ya kwamba zinazuia uhuru wawatu, na kwa hivyo hazifai kuzitii, nikwa muda gani watu hawawangevumiliwa katika jukwaa? lakini

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!